kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kwanini Bodi ya Mikopo hairuhusu madeni yao kulipwa kupitia benki nyingine?

    Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu. Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu mtumishi kulipa mkopo wake kwa kutumia Bank nyingine (yaani kuuza mkopo wa HESLB bank nyingine). Hivyo...
  2. Bila maamuzi magumu kutoboa kupitia kuajiriwa nitakusikia tu kwenye bomba Ajira za afya michosho tu sifa mtaani tu ila hela hamna

    Siku baada ya siku sioni dalili ya kutoboa kupitia haya maisha ya kuajiriwa mambo yanazidi kuwa tough familia inaanza kukua kwa mshahara huu wa single digit sina hakika kama kuna kutoboa bila kuchukua action sasa Kinachouma zaidi kuna watu huo mshahara wako ni per diem ya siku mbili tu aisee...
  3. M

    Uliwahi kupitia manyanyaso gani ulipoajiriwa private ?

    Niliwahi kufanya kazi kwenye kampuni private kwa taaluma niliyosomea degree, nilifurahi sana nilipopata kazi baada ya msoto wa muda mrefu kitaa lakini kazi ikageuka kuzimu. Kwanza kabisa mazingira niliyoyaona hakuna sehemu watu wanawekana kwa kujuana kama private, serikali haigusi hata kwa 20%...
  4. Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: -Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz - Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987… ================ BREAKING: IRAN...
  5. Sambo wa Kigoma na Doreen wa Dar es Salaam washinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet. Akizungumza baada ya kupokea...
  6. Ku-file kupitia mfumo mpya wa iDRAS vipengele vimekuwa vingi

    Wakuu salaam. Naomba nichangie jambo ambalo naamini wengi wetu wafanyabiashara na wahasibu tunapitia kwa sasa - ku-file returns kupitia mfumo mpya wa iDRAS wa Tanzania Revenue Authority. Zamani mambo yalikuwa relatively straightforward. Unaingia, una-file, unamaliza. Lakini sasa mchakato...
  7. O

    TAARIFA MPYA: Kampuni kadhaa kubwa za mafuta zimesitisha usafirishaji wa mafuta kupitia Strait of Hormuz.

    Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
  8. Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  9. PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  10. Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  11. S

    Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  12. T

    Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  13. L

    Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  14. Ingizo la DP World Lawa Kimbilio Kwa Wasafirishaji.Tani Milioni 28 Zaingiza Mapato Trilioni 14 kupitia Bandari ya Dar

    My Take Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho. Hivi navyoandika hapa Kwa mwaka huu wa 2025/26 tayari Kuna ongezeko la Mizigo Kwa zaidi ya asilimia...
  15. Basi ya Kampuni Gani Lipo Vizuri Dar es Salaam to Musoma Kupitia Kiabakari?

    Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
  16. Prof. Shemdoe: Rais Samia ameimarisha uchumi Geita kupitia ujenzi wa Barabara ya Kasamwa-Gamashi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
  17. H

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz. #WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
  18. Siri zenu tunazo kupitia Elimu kubwa CCM mambo yenu ya Gizani mnayo yafanya kuwadhulu watanganyika tunayo na yote yatawageukia ninyi

    Kujua siri za mtu yeyote. Kujua siri za herufi. Kujua siri za maneno. Kujua shughuli za siri. Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda. Kujua siri za... Kujua utajiri mtu alionao. Kujua siri ya sanaa zote. 12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M 12\2 SIMBASI, I...
  19. Simu niliyoagiza China kupitia AliExpress, naona imekwama kunifikia

    Habari ndugu zangu. Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana. Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”. Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio...
  20. Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa? Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…