kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafisadi huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa ndefu

    Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference Tumeshuhudia bajeti za karibu kila wizara imetoa bajeti ya pesa ndefu sana billion 523.3 watu wa burudani na michezo Tukija kwenye...
  2. R

    Bwana Katambi angalia police station na ufanyaji kazi . Iga vitu vizuri kama hivi na si kupoteza, kupiga watu, kuua etc etc

    Kwa nia NJEMA tu. Ona wenzako huko Ethiopia.
  3. Kuna shida gani mwanaume kupiga magoti mbele ya mke wake kwa ajili ya kumuomba msamaha wa jambo ambalo liko sensitive sana

  4. Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

    Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
  5. Huyu ndio Shee Mwaipopo wa kupiga mikwara watu

  6. Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  7. O

    KSh8,000 Kupiga Shoot Nairobi? Sheria Mpya Yazua Gumzo

    Sheria hiyo mpya imeweka ada ya KSh8,000 kwa kila commercial filming session ya local production, huku production teams kutoka nje zikitozwa KSh50,000. Music video production itagharimu KSh10,000, huku content creation studios zikitozwa KSh40,000 kwa mwaka. Influencers wanaoandaa monetised au...
  8. O

    Kwa Nini Hutakubaliwa Kupiga Picha Ballot Paper Yako 2027? IEBC Yaeleza

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imefafanua kwa nini wapiga kura hawataruhusiwa kupiga picha ya ballot paper baada ya kuweka alama kwa mgombea wanayemtaka katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kamishna wa IEBC Ann Nderitu amesema hatua hiyo inalenga kulinda moja ya misingi muhimu ya uchaguzi...
  9. Hii ndio sababu ya walimu kupiga wanafunzi mpaka kuwaua

    Frustration, Frustration, Frustration. Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa, Diwani, MEK na watumishi wote wa halmashauri wanaweza kumpiga kofi mwalimu. Imagine Mwl anafundisha...
  10. CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  11. Yajue maeneo ambayo ni marufuku kupiga picha Dar es Salaam

    Kabla sijaenda naomba kwanza nisahihishe jambo moja muhimu: si sahihi kusema kwamba kila eneo hapa chini lina sheria ya jumla inayosema “hairuhusiwi kupiga picha.” Baadhi ni maeneo nyeti ambayo hupaswi kupiga picha bila ruhusa, na baadhi yana restrictions maalumu, hasa maeneo ya kijeshi na...
  12. Jinsi matapeli wa mjini wanavyotumia "harusi" kupiga pesa; inauma sana

    Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia michango feki ya harusi. Mtu akijiona amepigika sana kimaisha hutafuta senti kidogo za kuchapisha kadi...
  13. Unataka kupiga soga na nani?

    Mtu unayemtongoza?, Bosi wako?, Rafiki mpya? Chawa? Moderator? Au Mimi?🤣
  14. R

    Najaribu kupiga bajeti ya tume ya jana kutoka Namibia, Uganda na Tanzania

    Hypothetical budget Makamishina 6. Kila mmoja posho zooote....ie siting allowance, per diem, "salary "trànsport etc etc... yaani kama wabunge wanavyokula posho na mshahara......combine all.......1,500 USD per day per head Siku 150 x 1,500 per day x 6= 9,000,000 USD Roughly 9,000,000 USD for the...
  15. Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
  16. A

    Iran intercontinental ballistic missile kupiga USA

    Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
  17. Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  18. Usikubali kulipwa uandamane ,kuna watu wamepanga kupiga waandamanaji na pesa haiwezi kurejesha uhai.

    Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
  19. T

    TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  20. Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

    Hlw Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…