kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
  2. U

    Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

    Wadau wote hamjamboni? Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story" Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako Niwatakie Sabato njema
  3. DC wa Bariadi adaiwa kushinikiza wananchi kupiga kura ya siri kuwataja wachawi na wenye Fisi

    Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi. Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
  4. Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake. kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote, kuna hizi tabia...
  5. Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

    Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
  6. Simba Yapiga Marufuku Mashabiki ''Kupiga Tochi'' Mechi dhidi ya Orlando Pirates

    DAR ES SALAAM UONGOZI wa Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani. Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…