Je, ni kifo kipi bora: kufa ukiwa umesimama au ukiwa umepiga magoti?
For me ShesRise_1 najua kifo ni kifo
Kama mtu mmoja maarufu alivyosema
Nukuu: Kifo ni kifo !
Lakini kufa ukiwa umepiga magoti, ukilamba miguu ya adui yako ili tu akuache uendelee kuishi ni jambo ambalo kwangu ni gumu...