kupendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Katika maisha ya kweli umewahi kumjua mwanaume mwenye maisha ya chini aliepata zali la mentali, kupendwa hadi kumuoa binti mwenye uchumi mzuri?

    Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
  2. Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  3. “Umaarufu Wangu Umekuwa Kizuizi cha Kupendwa?” 💔 — Athenea Del Castillo Afunguka

    “Wanaume hawaji karibu nami. Hata hawajaribu. Wananiona kama mtu asiyeweza kufikiwa, lakini hakuna mtu ambaye hawezi kufikiwa. Sisi sote ni binadamu. Sote tuko sawa, kila mmoja ana thamani yake, na sote tunastahili kupendwa na kuheshimiwa kwa usawa. Sijawahi kujiona kuwa bora kuliko mtu...
  4. Nina Bahati ya Kupendwa na Wanyama?

    Kuna jambo limekuwa likinitokea kwa muda sasa, na kila ninapolifikiria najiuliza kama ni jambo la kawaida au kuna watu wengine pia wamelipitia. Ninaishi kwenye apartment ya kupanga. Jirani yangu anafuga mbwa, na cha kushangaza ni kwamba mbwa huyo ameonekana kunizoea sana. Karibu kila usiku...
  5. Kuna mtu amewahi kupendwa na demu kama mimi?

    Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena kwenye restaurant moja hivi tukila chakula. Siku hiyo hiyo tena majira ya saa 1 jioni tukakutana...
  6. Tangu nilivyoanza kupendwa na wanawake wengi, pesa haikai kabisa

    Kila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee. Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo. Sasa...
  7. Umaarafu na kupendwa sana kwa bracelet ya Kenya inatokana na nini?

    Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa! Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera...
  8. Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

    Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM. Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
  9. K

    Rais Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania

    Mama Samia aliharibu baada ya kupuuzwa nguvu ya kupendwa na Watanzania. Mwaka 2021-2022 Mama Samia alikuwa anapendwa sio tu Tanzania lakini hata Duniani. Tuliona mialiko mingi sana kutoka nchi mbalimbali hii ilitokana na ukweli kwamba watu kwa ujumla wao wanapenda mtu ambaye ni wa watu mcheshi...
  10. Nitembee na mwanamke ambaye kwa makusudi hakutaka kuniambia kama kaolewa. Ukinifumania nawagonga wote!

    Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi? Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
  11. K

    Mwigulu: Wengine wanaandika naongea kwa kufoka foka nitachukiwa, nani kawaambia nimekuja kupendwa?

    Dongo la Mwigulu siku ya leo 😂 😂 😂 😂
  12. R

    Nahisi sijui chochote kuhusu mahusiano ya kupenda ama kupendwa

    Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
  13. H

    Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  14. Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  15. Kupendwa rahaa mpaka nimepewa hati ya tunda kuwa ni langu

    Huyu mwajumwa jamani mtoto wa kitanga usinibadilishe dini ya kwangu inanishinda kusali mara moja nitaweza ya kwako kama masharti ya kumeza dawa za TB. Picha isifutwe hiki ni kitaru cha jina langu chenye hati ya umiliki. Mbona CCm wanagawana vitaru.
  16. Kwa nini vyakula vya Africa havisambai duniani au kupendwa kwenye mabara mengine?

    Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...
  17. K

    Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

    Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi Mfano...
  18. Ila kupendwa raha nyiee

    Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.
  19. Hakuna mtu hatari kuwa naye kwenye mahusiano kama mtu "anayehitaji kupendwa"

    mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na wanataka wapendane sasa unajiuliza hawa watu wao wenyewe tu hawana upendo ndani yao, hiyo nguvu ya...
  20. Binafsi: Sihitaji kupendwa , nnachohitaji ni kuheshimiwa tu

    WAKUU, 1. Uwezi kunambia Kila mara Unanipenda (unalia Hadi chozi) na penzi hunipi, kisa eti Hatujafunga ndoa. Binafsi naona Unaniigizia tu. 2. Sioni mantiki ya kuninyima penzi na najua kabisa nmekukuta huna BIKRA. Ukininyima penzi naamini UMENIDHARAU. 3. Kunibania penzi kiukweli hakuwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…