kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke wangu hana shida mimi kuongeza Wake wengine wakumsaidia. Ila amenipa vigezo vya mke anayemhitaji kama ifuatavyo;

    Habari za leo! Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi. Nikampa muda wa...
  2. M

    Hata kama ni kweli Rais ataongeza awamu za ziada, MTAFANYA NINI ?

    Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni. If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂 Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
  3. Huyu jamaa kosa lake lilikuwa tu kuongeza mke wa pili mpaka akauliwa kinyama hivi?

    Ni jambo gani hasa alilofanya jamaa huyu hadi kustahili kuuawa? Anaitwa Nashon Ouma Opiyo, mkazi wa Ongoro, Kamreri, eneo la Suba huko Kenya, alifanya nini mpaka mke wake mwenyewe na watoto wake, kwa madai yanayoelezwa, wageuke dhidi yake, wampige ndani ya nyumba yake na hata kumchomeka...
  4. Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  5. Namna ya kuongeza mvuto na kipato kwa kutumia karafuu, mchele na sarafu ya 500

    Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko. Chukua karafuu, mchele kidogo punje kadhaa changanya na sarafu ya 500 ili uweze kuongeza mvuto wa kibiashara, kuongeza thamani yako na kuongeza kioato chako. Njia ya kwanza, chukua karafuu , changanya na mchele...
  6. Je, Namna Tunavyooga Inaweza Kuongeza Hatari ya Kiharusi? Haya Ndiyo Unayopaswa Kufahamu

    Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani. Kwa mujibu wa taarifa: Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
  7. Nijifunze nini kwenye AI ambacho kitanisaidia kuongeza kipato au kukuza career yangu?

    Kama kichwa kinavyojieleza. AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto. Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology. Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine. Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani...
  8. LATRA tumieni technolojia kudhibiti madereva barabarani kabla ya kuongeza sheria nyingine.

    Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa barabarani yanaosababisha ajali?. Badala yake bado mnatunga sheria zitakazofanyakazi manually kuwapa...
  9. Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  10. Makatibu Wakuu EAC Wakubaliana Kuongeza Kasi ya Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya. Makubaliano hayo yamefikiwa leo, Septemba 24, 2026, katika...
  11. E

    Wakili Aloyce Komba: Lissu ana kesi nzuri, mashahidi wa IGP, CDF na DCI walikuwa wa kuongeza tu

    Wakili Aloyce Komba, Wakili Kiongozi wa Haki Kwanza Advocates, ni mtaalamu wa mwenendo wa kesi za jinai, haki jinai na haki za binadamu. Katika mahojiano haya, anaeleza maana ya Mahakama Kuu kutowalazimisha mashahidi watatu waliokuwa wameombwa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili...
  12. G

    Mabadiliko tunayohitaji kwenye ELIMU yetu ni kuongeza au kupunguza miaka ya kusoma au kuboresha content?

    Kwa hiyo ndo maboresho makubwa walilofanya kwenye ELIMU ?? Tatizo la ELIMU yetu ni miaka ya kusoma au content yake ?? Twende TU hivyo hivyo uzuri watoto wengi wa mawaziri wabunge na WATUMISHI wa umma hata waalimu wa hizo shule hawapeleki watoto wa huko Watasoma watoto wa maskini na machawa...
  13. British-Nigerian influencer Igho Ubiribo alifariki March 2026 katika procedure za kuongeza ukubwa wa uume wake akiwa Thailand

    Influencer na mfanyabiashara mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza, Igho “Tiny” Ubiribo, anayejulikana pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kupata matatizo kutokana na utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume nchini Thailand. Uchunguzi wa kifo...
  14. Prof. Shemdoe awaasa Viongozi Serikali za Mitaa kuepuka Migogoro ili kuongeza Ufanisi wa Huduma kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
  15. Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  16. Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon. Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari? Nb. Title isomeke swali...
  17. NACTVET: Tumefanya maboresho ya mawasiliano kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetoa taarifa kuwa limefanya maboresho ya mawasiliano yake kwa njia ya simu ili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wadau wake. NACTVET imeeleza kuwa mbali na namba za simu za Makao Makuu, maboresho hayo yamejumuisha...
  18. CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
  19. Kuongeza Ufanisi wa Wafanyakazi Wako: B2B Bima za Afya, Maisha na Ajali (Pamoja na Familia Zao!)

    Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu. Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
  20. Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…