Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana.
Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu...