kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wa mikoa ya kaskazini wanavyojichotea mabilioni kutokana na kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara

    Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
  2. JamiiForums Tanzania Kama haujaoa au kuolewa njoo uone cheo chako

    Kwa Sasa hivi mimi ni Principal Bachelor
  3. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iwe na ukomo wa Kuoa na Kuolewa

    Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai: "Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa kwamba miaka 14 kwa miaka 18, basi iwekwe ukomo kwa mtu kuolewa na kuoa kwasababu tumekuwa na taifa...
  4. JamiiForums Tanzania Wasichana njooni hapa: Ukiwa na tabia hizi kuolewa itakuwa ngumu sana

    Siku hizi wasichana wengi wazuri au warembo, ili kuwanasa, lazima uwahonge pesa nyingi. Jamii imebadilika sana si kama zamani, ambapo mapenzi yalikuwa hayaangalii una pesa kiasi gani, mapenzi yalikuwa yanaangalia upendo wa dhati; yaani jinsi mtu anavyokupenda na malengo yake kwako. Siku hizi...
  5. JamiiForums Tanzania A serious woman to Marry is needed

    I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those. should be aged 25 to 30. Able to understand shortly and hardworking. Any level of education in any Falcuty ,but those with finance,accounting,Computer...
  6. JamiiForums Tanzania Na huyu kaamua kuolewa na mwanasesere wake

    Baada ya yule alieamua kuolewa na nani na mimba kambebea,mtoto kamzalia,mwingine huyu kaamua kuolewa na mwanasesere wake alishonwa Kwa matambaa,huyu alishonewa na mamake zamani,kama muonavyo hapo ndoa inafungwa na ndugu wamehudhuria,bwana alijibu vipi kiapo sijui. Wako bafuni wanaoga...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa hivi sasa yakoje?

    Unajua kuwa maisha ya kuwa single ni magumu, hivyo tunahitaji kuwa na maisha ya wawili, tupate watoto na tujenge familia. Kwa wale walioolewa kuanzia mwaka 2020 hadi 2023, maisha ya ndoa yakoje? Visa vipo vingi; wengine wameuana, wameachana na wengine wanaishi pamoja kwa sababu fulani. Naomba...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mtume Paulo anaonya kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, usioe ama kuolewa tena. Kuoa ni kujitafutia matatizo. Olewa ama oa kama last option

    Wale vijana wa kataa ndoa wana haki ya kusema ndoa sio lazima kwa sababu hata Biblia Takatifu inasema kama hujaoa ama kuolewa ama mjane, basi usijaribu kabisa kuingia kwenye ndoa. Wakorintho 1, Sura ya 7: 8-9 Mtume Paulo anasema ndoa iwe ni last option baada ya kua umeshindwa kabisa na huna...
  9. JamiiForums Tanzania Nilimsomesha chuo akaniacha na kwenda kuolewa mke wa pili

    Nilimsomesha CHUO akaniacha na Kwenda kuolewa MKE wapili! Nilihangaika mpaka nikamlipia ada. Kipindi hicho, mimi nilikuwa nimemaliza diploma, yeye alikuwa anasoma digrii. Katikati ya masomo, baba yake aliyekuwa anamsomesha alifariki, hivyo kama mwanaume, kwa kuwa yeye hakuwa ameanza kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

    . Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe mcha Mungu umri kuanzia miaka 35 hadi 40 Mwenye bidii ya kufanya kazi na nidhamu ya Pesa. Mengine tuwasiliane inbox. Karibu
  14. JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

    Mamboo Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri. Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
  15. JamiiForums Tanzania Mtu anayeacha tabia mbovu kwa ajili ya ndoa usimuamini

    Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
  16. G

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

    Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9. Muongozo unaofatwa ni Sharia Law ambayo ni mkusanyiko wa sheria kadhaa za dini. === Iraq plans to lower the...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

    Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri. Ila moyoni wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo hiki, Yanga wameamua kuolewa na Simba sc

    Hapo vip!! Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali. Moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro. Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…