kumuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Katika maisha ya kweli umewahi kumjua mwanaume mwenye maisha ya chini aliepata zali la mentali, kupendwa hadi kumuoa binti mwenye uchumi mzuri?

    Ukiacha stori ya kwenye wimbo wa 'Zali la Mentali', je, ushawahi kuona mwanaume wa hali ya chini anayebatika kuoa binti tajiri na maisha yake yakabadilika kweli? Ama hizi mambo hutokea kwenye nyimbo na filamu tu? Share kisa unachokijua.
  2. Kati ya kumuoa au kuolewa na mtu asiyefaa au kuingia katika familia isiyofaa... ni kipi kibaya zaidi?

    Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya. Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili. Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
  3. Ni kweli Allah alimruhusu Muhammad kumuoa mke wa mtoto wake wa kuasili?

    Zaid alikuwa na mke anaitwa zainab. Alikuwa mrembo kupindukia. Siku moja muhmd akaenda kumtembelea zaid, akamkuta zainab akiw katika mavazi ya kuvutia, akashindwa kujizuia na kumchukua zainab huku zaid akiruhusu hilo.
  4. Usemi wa "Usimuamini mwanamke kwa asilima 100" ndio aliopita nao Bilionea Christiano Ronaldo kabla ya kumuoa "Nyonga mkalia ini" wake.

    Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno. Naamini tulishaletewa habari hii hapa jamvini lakini hebu kidogo tuuelezee kwa ufupi mkataba huo. Mkataba huo...
  5. Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    "Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone kwamba namna gani zinaa Mungu ameikataza" Sheikh Kulunge
  6. Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  7. Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana. Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi...
  8. Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  9. D

    Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    .........
  10. Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  11. Niliyetaka kumuoa kanidanganya kuwa mama yake amelazwa ICU nitume hela ya mchango

    Kupata mke kazi ndugu zanguni. Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja. Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila...
  12. Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
  13. Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  14. B

    Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  15. MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

    Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA 👇 Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women 🚺 hakatai mwanaume. Hasa mwanaume anayehitaji kuoa So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
  16. Chidi Benz ataja sifa za Mwanamke ambaye hawezi kumuoa

    Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
  17. C

    Kumuoa mwanamke kwa kumbeba

    Kwema wakuu, Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
  18. G

    Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  19. T

    Nina mpango wa kumuoa lakini amezidi kelele

    Niko kwenye mahusiano na huyu Binti ana miaka 28, huu ni mwaka 3. Nampenda sana na tulishapanga mipango mingi, shida nikuwa hivi karibuni kabadilika sana na sioni kama nawezana naye. Kwanza amekua mtu wa kisirani, kakitu kadogo ataongea mpaka inaboa, ukichelewa kupokea simu hata kama ulikua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…