kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. Wanaosema miaka mitano ya Magufuli wapinzani waliufyata na sasa wanamwonea Mama nadhani hawana kumbukumbu

    Kuna baadhi ya watu,hasa Watu wa CCM, mara baada ya Mbowe kutekwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi kwa sababu tu kadai katiba mpya walisikika wakisema,Mbowe acha akome, kwa sababu miaka yote mitano ya Magufuli alikua kimya sasa kaja Samia ana/Wana muonea,wakati wa Magufuli waliufyata. Wale...
  2. Hotuba za Mwalimu Nyerere ziwe zinatangazwa wakati wote, siyo wakati wa kumbukumbu ya kifo chake pekee

    Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo. Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na wakati wote utapenda kuzisikiliza, kwa manufaa ya nchi yetu ya kipindi hiki na kijacho. Hotuba za...
  3. Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570. Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
  4. Kumbukumbu na Maadhimisho ya kifo cha Mwl. J. K. Nyerere

    Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu. ukutana kwa...
  5. Kumbukumbu ya kumbukumbu baada ya nusu

  6. Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

    MATE; Previous I wrote a topic centered on Illusion projection and I discussed a bit about how the brain process and encode memory, So this Topic will be serving as a stand-alone sequel of that Topic. Will be focusing on memory stored in brain and Soul respectively. Kuna hivi vitu viwili...
  7. Mkitaka kuwa waongo lazima muwe na kumbukumbu, makusanyo ya 1.9 trillion yalifikiwa desemba 2020

    33341 Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu. Watu wanarukaruka na kushangilia kwa pambio na ngonjera za kutosha huku wakijua Wanasema uongo, tofauti na ukweli huo tokeni...
  8. P

    Profesa Shivji na wafanyabiashara kwenye siasa nadhani hajavuta kumbukumbu zake vizuri

    Amesikika Profesa maarufu wa Chuo Kikuu cha Dar Issa Shivji akiongelea namna wafanyabiashara wakishakuwa wametajirika wanavyovyamia masuala ya kisiasa na kitaalam. Labda ni baada ya kusoma majina ya wale wajumbe wa bodi ya TANESCO ndio akajenga hoja alizozijenga. Kwamba wafanyabiashara wenye...
  9. kumbukumbu namba ya barua rasmi

    jamani walimu humu ndani naombeni mnieleweshe, unapoandika kumbukumbu namba, katika barua rasmi, kumbukumbu namba hiyo inahusiha mambo gani?
  10. J

    Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kukimbizana na Wamachinga barabarani

    Nyerere: Serikali corrupt duniani kote hazikusanyi kodi hubaki kufukuzana na wamachinga barabarani hata Italy pale wana mzigo wa madeni. Kumbukumbu ya miaka 22 baada ya kifo cha Nyerere Chanzo: ITV
  11. K

    Kituko gani unakumbuka siku ya kwanza kusex?

    Naamin mpo good wadau, Leo nlikua kijiwen na wajuba tunapiga piga story ya mambo za Hamza, mara story zikahama mpaka kwenye minyaduano maana kuna dada bonge bonge alipita kijiweni akaharibu kilinge baada ya jamaa mmoja kusema unaeza muona na minyama hivo halafu ukafika 6x6 ukakuta hakuna kitu...
  12. Namkumbuka Rashid Kheri Baghdelleh, rafiki wa Baba yangu

    NAMKUMBUKA RASHID KHERI BAGHDELLEH RAFIKI WA BABA YANGU Anza kwa kuangalia picha hapo chini. Baba Said Salum, Babu Salum Abdallah na juu ni Kheri Rashid Baghdelleh. Baba na Baghdelleh wakifahamiana toka udogo wao Dar es Salaam ile ya 1950s. Baghdelleh baada ya uhuru akawa Regional...
  13. Kumbukumbu ya kifo cha Rais Benjamin William Mkapa

    TAAZIA YA DR. DAU KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NA YALE MAKUBWA NA MAZITO AMBAYO HAKUYASEMA Hakuna kitu kinagusa fikra na linabaki akilini na kuhifadhika kwengineko kama neno lililoandikwa. Aliyesoma taazia ya Dr. Dau kwa rafiki yake Benjamin William Mkapa atakuwa ameona kanitaja kuwa mimi ndiye...
  14. Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

    Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu. Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona...
  15. Punguza misaada, watu hawana kumbukumbu

    Habari za majukumu wana mizengo bila shaka muwazima wa afya naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja PUNGUZA MISAADA WATU HAWANA KUMBUKUMBU [emoji117]Watu wanapost sana huo msemo hapo bila kujua wanakosea san ipo hivi unapomsaidia mtu tarajia malipo kutoka kwa Mungu na sio kwa binadamu yeyote...
  16. J

    Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu ya Hayati Mkapa na kuiendesha kwa lugha ya Kiingereza?

    Nimesikiliza tangu mwanzo kumbukumbu ya Hayati Benjamin William Mkapa. Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu kama hii na kuiendesha kwa lugha ya kingereza? HAPANA. Waandaaji wa matukio kama haya kama wa leo UONGOZI INSTITUTE ni vema wakajua kila waandaacho ni kwa ajili ya...
  17. Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

    Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo. Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu...
  18. N

    Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

    Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation) Alijenga umoja wa kitaifa. "Reli ya Tazara" "Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk." Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi...
  19. A

    Picha wanazipenda kuchukua Watalii kama kumbukumbu ya utalii wao Afrika

  20. Leo ni kumbukumbu ya Entebe raid july 4th 1976 jumamosi usiklu!

    Jumamosi ya leo siku kama ya leo mwaka 1976 Makomandoo wa kiisrael walishuka paple Uganda Entebe air port kuokoa ndugu zao. Makomandoo hao waliongozwa na kija a Jonathan Netanyahu akiwa na miaka 28 tu ( umri wa kwenda Disco), alijitoa mhanga kufa ili ndugu zake 126 waokolewe. Magaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…