kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Wazo: Tarehe 17 Machi iwe siku ya mapumziko na iwe ni siku ya kumbukumbu ya Marais waliotangulia

    Kila tarehe 17 ya mwezi wa tatu ni siku ya maumivu makali kwa Watanzania. Kila ikifika tarehe hiyo ni kama donda lililopona linatoneshwa tena na maumivu kuanza upya, watu wanamkumbuka Hayati Magufuli. Kwa kuwa alikuwa ni shujaa kwenye maisha ya wengi hivyo anastahili kuenziwa kishujaa kwa...
  2. R

    Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha msiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania? Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa...
  3. Nitabaki na kumbukumbu ya hizi opportunity nilizoziacha zikanipita

    Pengine hizi opportunity ningezitumia basi na mimi BabaMorgan ningekuwa na visa kadhaa kwenye ule uzi pendwa wa kula tunda kimasihara. 1. Huyu alikuwa mtoto wa mwenye nyumba wetu kule mabibo tulipopanga alikuwa ni mkubwa kwangu na mwanamke mwenye standard zote za uzuri mixer ya kichaga na...
  4. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?

    Wanabodi, Sisi binadamu tofauti tofauti tuna hobies mbalimbali, wengine wanapenda kutulia sehemu moja, wengine wanapenda kusafiri safiri. Mimi hobby yangu ni safari, na kula. yaani travelling na eating delicious meals na feasting on anything good! Yaani napenda sana kusafiri na kula vitu...
  5. Njia nne zinazoweza kukusaidia kuwa na kumbukumbu bora zaidi

    Usahaulifu au amnesia kwa lugha ya kitaalamu ni hali inayosababishwa na mtu kutokuwa na afya ambayo watu wengi huugua bila kujua. Wakati mwingine hugeuka na kuwa ugonjwa unaofahamika kama "Dementia" na kuwa katika aina tofauti. Professor Richard Restak, anayefundisha sayansi ya ubongo katika...
  6. ''Tenda Wema Nenda Zako Usingoje Shukurani'': Kumbukumbu za Kanali Ayubu Simba

    ‘’TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKURANI’’: KUMBUKUMBU ZA KANALI AYUBU SIMBA Rafiki na ndugu yangu Hamisi Hababi leo asubuhi kaniletea kitabu cha maisha ya Kanali Ayubu Simba. Hababi alipata siku moja katika mazungumzo yetu kuniambia kuwa maarifa yapo katika vitabu. Siku hizi nimekuwa na...
  7. Matatizo ya Afya ya Akili utotoni yanaweza kuchochea kupoteza kumbukumbu

    Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa mtoto anapofikia hatua ya kufanya maamuzi wakati wa ukuaji wake anaweza kuathirika mfano kusahau...
  8. Bobby Brown amefikisha miaka 54. Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bobby

    Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’. Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
  9. M

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, Udhamini wa m.bet uliosemwa na simba kuwa ni b.26 kwa miaka 5 inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka?

    Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa...
  10. Naweka Kumbukumbu Sawa, Murtaza Mangungu ni Mwana-CCM Kindakindaki, Wakili Kaluwa kutoboa ni ngumu sana

    Wakuu kwema? Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board. Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti kupitia Wanachamna ni pamoja na Bwana Murtaza Mangungu ambae ndie Mwenyekiti anaemaliza muda wake. Huyu...
  11. K

    Januari 27 ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rais Samia

    Januari 27 ni kumbukumbu ya siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Katika kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa watu utakiana Kheri na kutumiana salamu za kutakiana mema. Ikiwa kesho ni siku, una nini cha kumwambia kuonyesha upendo.
  12. Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

    Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012.. pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
  13. Kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2023 na Mohamed Said, Radio One

    MOHAMED SAID RADIO ONE KIPINDI CHA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964 KESHO 12 JANUARY ASUBUHI SAA MBILI Kichwa cha.habari kinajieleza. In Shaa Allah... Nasikia, ‘’Hodi, hodi, hodi.’’ Nafungua nawaona watu wa stesheni moja maarufu sana wako mlangoni pangu wananiambia wamekuja kunihoji kuhusu Mapinduzi...
  14. Kwaheri Pele: Kumbukumbu Yangu ya Kombe la Dunia 1966

    KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966 Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza. Hivi ndivyo nilivyokuja kumjua Pele. Mwalimu Mkuu wa Kinondoni Primary School Mr. Reveta alikuwa akija darasani...
  15. M

    Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  16. B

    Nchi yetu katika kumbukumbu, wao na wadhamini wao wangalipo madarakani

    Tuvute kumbu kumbu: Hawa ndugu na wadhamini wao wangalipo madarakani na kazi inaendelea. Maajabu ya Mussa! Ama kweli kama nchi tuna matatizo! Tunaridhiana nao nini hawa?
  17. Kumbukumbu ya Dar es Salaam dockworker's union 1948 katika Nyerere square 2022

    KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022 Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la mabati. Katika jengo hilo ndipo ilipokuwa ofisi ya Abdul Sykes Secretary General wa Dar es Salaam...
  18. Ni zawadi gani nzuri, inayoweza kumfurahisha na kumuachia kumbukumbu ya furaha mkeo/mumeo aliyepitia changamoto kali kipindi cha nyuma?

    Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi. Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu. Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
  19. Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Wakuu, Tunafarijika kuwafahamisha kuwa tumerejea hewani baada ya kupata mashambulizi ya makusudi yenye kulenga kuzuia upatikanaji wa huduma kwa watumiaji wa JamiiForums (DDOS Attack) kwa takribani masaa 7, kuanzia saa 7 mchana hadi saa 2 usiku. Mashambulizi haya yaliyolenga kuidhoofisha...
  20. Kumbukumbu ya Hayati Magufuli isiwe sikukuu ya kitaifa, ifanywe na CCM

    CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!! Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja ikiwa kwamba amefanya mambo mengi sana mazuri kiasi cha kumuwekea siku maalum ya kumkumbuka ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…