kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Chanzo: Tanzania yauza Afrika Mashariki kuliko inavyonunua

    Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo. Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
  2. Siri ya Waislamu kuwa na Amani kuliko watu wengine hapa duniani

    My people, Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani: Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...
  3. M

    Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
  4. Kwahiyo huyu ndio alikuwa na akili kuliko wote waliondamana ubalozi wa Vatican?

    Mpaka wakamuamini akaaamua asome biblia kinyume nyume. Alieleta hii idea huko kijani nadhani atakua yupo kizuizini chini ya jenerali fweleboy mana mchongo umebuma vibaya mno. Ni huzuni Ila huyu dada noma kuna rivasi kanipigia hapo Corinthians 13 mpaka 10
  5. R

    Nadhani mtu mwenye furaha kuliko wote duniani kwa leo ni María Corina Machado- mpinzani wa Madulo

    Huyu binti alipitia kipindi kigumu kama cha Lisu na Chadema kwa ujumla. Alipitia vipindi vigumu kama vya Lisu.
  6. M

    Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

    Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono. Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
  7. 2025 ilkuwa mwaka mbaya kuliko hata ule wa wakoloni

    Mwaka uliopita, Watu walitekwa Waliteswa Walipotezwa Walinyanyaswa Waliuawa Walitishwa Walidhalilishwa Walichekwa Walikosa na kupoteza matumaini Waliibiwa fedha, mali, na raslimali hata kura Nchi ilinajisiwa kiasi cha sifa yake kutoweka Ni mwaka wa mikosi na mateso hakuna mfano Watanzania...
  8. Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication) Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine, Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
  9. Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  10. Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  11. Nashauri ili kuanza kuboresha taswira yake atafutiwe ziara mikoa ya pembezoni kuliko kujificha.

    Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani. Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na TV zimuonyeshe. Ni ushauri tu. Hoja haipigwi mawe.
  12. Manispaa ya kahama,Ina stendi nyingi na benki nyingi kuliko wilaya zote zilizopo mikoani ambazo sio majiji

    Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
  13. Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  14. R

    Chama cha siasa kikubwa kuliko vyote Tanzania ni CHADEMA

    Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni. CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule. CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
  15. Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
  16. HII NDIO SIKUKUU BORA KULIKO ZOTE, ZINAANZA NYINGINE THEN HII NDIO INAKUWA FUNGA KAZI. MERRY CHRISTMAS WANA JF

  17. Hii hali kwangu ndio ngumu kuliko

    Heri ya siku kuu ya krisimasi ndugu zangu. Hope nyote mko salama Life ni gumu kuzidi kupambana kila siku ila tusisahau kuhusu maua mazuri ambayo mwenyezi Mungu katubariki Tanzania na duniani kote. Hatua zote za kumpata binti kwangu kuna hili moja huwa inanisumbua sana, huwa inanitokeaa hasa...
  18. M

    Kauli ya Warioba kuwa Iddi Amin aliua Watanzania wachache kuliko serikali ya Samia; Jeshi lijitazame sana

    Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
  19. Mahojiano ya Boni Yai na Mtozi Nyanda Yamedhihirisha CHADEMA ina Akiba ya Viongozi wenye Akili Kuliko Chama Chochote

    NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi. Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
  20. Kwanini walimu ndo wanaongoza kwa KUTAPELIWA kuliko kada zote?

    Good afternoon class Naomba kuuliza hivi walimu wanashida gani? Maana kwenye hatua zote tatu asilimia 50 lazma watapeliwe Hatua ya kuomba kazi hapa wanapiga sana, vilio hapa ni vingi mno Hatua ya kuingia kazini, hapa waliobahatika kupata napo utapeliwa sana wakipata visenti vyao sio na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…