kulalamika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

    Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli? Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
  2. S

    Mlifikiri yataishia kwa Wamasai wa Loliondo tu?

    Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo. Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia! Tumelaniwa!
  3. Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  4. Baada ya Mdau wa Jamii Forums kulalamika, Serikali yaanza kuboresho ya Barabara ya Goba - Mpakani

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Barabara ya Goba - Mpakani, Dar Es Salaam ni mbovu na inawagharimu watumiaji hasa wakati wa Mvua, Serikali imechukua hatua ya kuanza maboresho. Mdau alidai kuwa barabara hiyo haichongwi mara kwa mara na ina madimbwi mengi hivyo hata...
  5. M

    Sababu ya wafanyabishara kulalamika biashara mbaya kipindi cha pasaka kimenifanya nijue wa Tanzania sio wa'DINI mitaani km inavyoonekana mitandaoni

    Sikuu kuu imenifunza mengi na pia nimeangalia maisha halisi toka utotoni nikaunganisha dot nikapata huu ukweli Nikianza na wafanyabiashara wa chakula masokoni Wao walisema mauzo yalikuwa ya chini sana katika bidhaa zao za vyakula tofauti na sikuu zingine.hii imetoka na ukweli kwamba kipindi...
  6. Rais Samia aache kulalamika, achukue hatua mara moja

    Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo...
  7. Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  8. Watanzania mtaacha lini kulalamika?

    Je, walimu wa serikali wanaumizwa na mpango wa mikataba na wakuu wao? Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepata malalamiko kutoka kwa baadhi ya walimu wa Shule katika Mkoa wa Dar es Salaam na pia tumegundua kuwa walimu kadhaa wako katika msongo mkubwa sana wa mawazo kufuatia 'mikataba mipya' ya...
  9. Kundi la Wagner laanza kulalamika kuishiwa silaha, walaumu Urusi

    Watafyekwa sana hawa. The head of the Wagner group, Yevgeni Prigozhin, who commands in Ukraine a network of mercenaries allied with the Russian Armed Forces, has intensified his criticism of the Government for the alleged lack of ammunition suffered by these militiamen, thus aggravating the...
  10. Watanzania tunapenda kulalamika sana wakati ni waoga wa kupindukia kuingia barabarani

    Imagine Lissu alipigwa lisasi tena 32 na Mungu akamkingia kifua yule mwovu akaaibika akafa yeye lakini hakuna mtanzania hata mmoja ambaye alionesha kukerwa na jambo lilo kwa angalau kuonesha demonstration barabarani au kulaani tu. Eti Leo Lissu anapambana na maisha yake wanashangaa kwamba...
  11. Wabunge wanaoongoza kwa kulalamika hawalisaidii taifa

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63 (2) moja ya majukumu ya Bunge la JMT (Mbunge) ni KUISHAURI NA KUISIMAMIA SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake Katiba ambayo ndiyo sheria Mama, inaeleza wazi kuwa wabunge...
  12. Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kuna watu wanamkosoa kuhusu gharama za bando mtandaoni naye anawajibu kuwa muda huo wangeutumia kufanya kazi nyingine wasingelalama kuhusu bando. Kauli hii ya waziri, imeenda kinyume na sera ya TEHAMA 2016 inayotaka...
  13. N

    Tanzania hatuna sababu ya kulalamika njaa

    Rais Samia Suluhu anaendelea kututoa hofu watanzania katika suala zima la njaa alisema kuwa watanzania hatuna sababu yoyote ya kulia njaa. "Nataka niwahimize tulime kwa sababu miaka ijayo Dunia inaona hatari ya njaa, Tanzania hatuna sababu ya kulia njaa na ndiyo maana tunaweka miundombinu ya...
  14. Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

    Naibu Waziri Exauds Kigahe amewataka Wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kutumia elimu waliyoipata kujiajiri ikiwemo kuanzisha biashara badala ya kuwa sehemu ya kulalamikia ukosefu wa ajira. Amesema “Ni jukumu la kila mhitimu kuukubali na kuuchangamkia zaidi msukumo wa Sayansi na...
  15. Nchi inaenda vizuri, wazee wa kulalamika siku zote wapo tu hawakosi

    To be honest Huu uongozi ni Sahihi kwa ustawi wa Taifa . Nipo DSM naona miradi ya kuchagiza uchumi ikianzishwa , simaanishi madaraja no hapa nazungumzia Mambo muhimu tu. Vijana wanapambana life goes on Vitu vimepanda Bei Sana lakini hela ukijituma unapata and you can afford to pay bili zako...
  16. Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

    Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo na liwe. ============ A massive anti-hijab revolution has broken out in Iran after women came out...
  17. SoC02 Vijana tujitume, kulalamika hakuna faida

    VIJANA TUJITUME KULALAMIKA HAKUNA FAIDA Vijana wengi wa Wakitanzania wanaonekana kulalamka zaidi kuliko kujituma. Kama utafuatilia kwa umakini vijana wanalalamika kuwa serekali haitowi ajira, au hawana ajira, au kulipwa kidogo, huku wakitumia muda mwingi katika mitandao ya kijamii na maskani...
  18. Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

    Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli. Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
  19. Kwenye historia hakuna mabadiliko yaliyoletwa kwa kulalamika

    Hii nchi inaweza kuwa inaongoza kuwa na raia wanao lalamika na hakuna hatua wanayo chukua. Napitia sana vitabu mbalimbali vya kimageuzi duniani, sijaona nchi ambayo baada ya malalamiko ya muda mrefu kuna mageuzi yalifanyika. Kwa kifupi malalamiko ni kele za chura, haziwezi zuia ng'ombe kunywa...
  20. Shabani Kaoneka alalamika Mandonga kupambwa zaidi yake aliyeshinda pambano

    Mabondia Karim Mandonga na Shaban Kaoneka wamerudi tena kwenye headlines kufuatia kauli ya Shaban Kaoneka aliyoitoa jana akizungumza na Wasafi. "Mandonga amepata bahati kuliko mimi, waandishi wa habari wakati mwingine mnakuwa wanafiki, mimi niliyeshinda nakuwa masikini aliyepigwa anakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…