DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. DKt Leonard Akwilapo, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi katika kukuza sekta ya Milki nchini, akieleza kuwa sekta hiyo ni kichocheo muhimu cha ukuaji wa uchumi, uzalishaji wa ajira...
Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo.
Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato.
Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
Sekta ya madini yawekewa mkazo katika kukuza uchumi, kupunguza utegemezi wa ufadhili wa utafiti na kuhakikisha matumizi sahihi ya asilimia 10 za mapato ya mauzo kwa maendeleo yenye tija.
Kama kichwa kinavyojieleza.
AI imeshakuwa sehemu ya maisha yetu ni either unaijua au ikupite kushoto.
Nataka niwe sehemu ya dunia ya AI japo mimi sio mtaalam wa technology.
Mimi nafanya shughuli za kuajiriwa na freelancing muda mwingine.
Je nikitaka niwe sehemu ya AI nijifunze kitu gani...
JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani
JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana.
Umuhimu wake kwa Soko la Ndani:
1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania
Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
📅 22 Septemba 2021 — Mkutano wa Biashara Tanzania na Marekani
Tarehe 22 Septemba 2021, akiwa jijini New York, Marekani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani...
Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media.
Tunatafuta watu wenye uwezo katika:
Marketing
Social Media Specialist
Content Management
Moderation (Mods)
Graphic Design
Tunathamini mtu anayejua...
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers.
Mazungumzo hayo yalihusu namna ya kuimarisha ushirikiano zaidi katika sekta ya viwanda...
Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani .
Uzinduzi huo umefanyika September 4,2026 kwenye makao makuu ya Bodi ya Kahawa...
Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara.
Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi.
Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara
Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji
Namna ya kupata utajiri kwenye biashara
Namna ya kupata wateja
Namna ya kulinda biashara kikawaida...
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
Sera ni kiungo muhimu kinachotumika kukabiliana na tatizo linaloikumba jamii, sometimes matatizo hayahitaji sera ili kuyaondoa ila linapokuja jambo la kuanzishwa sera ndiyo tatizo linazidi kuongeza.
Kuna baadhi ya sera huanzishwa ili kuleta mgawanyo kwa asilimia Kubwa nchi zetu za Dunia ya tatu...
Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi
Kujenga akili ya kifedha...