kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi. Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
  2. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  3. LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

    Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo. Akizungumza na waandishi wa...
  4. Siku hizi husikii kukamatwa magendo au bidhàa zilizo-expire

    Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya! NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni kufunguliwa.
  5. G

    Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

    Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
  6. Mama aliyedaiwa kufanya ukatili na video yake kusambaa mitandaoni akimpiga mtoto akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Sabrina Shabani, mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Mbezi Mwisho, baada ya video kusambaa mitandaoni ikimuonesha akimshambulia mtoto mdogo. Tukio hilo limeibua masikitiko na hasira kwa umma, na uchunguzi wa awali ulifanywa kwa kushirikiana...
  7. Mubaarak Naasir kutoka Tanzania aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, asimulia hadithi yake yote

    aisee mazee dah Mubaarak Naasir Saciid kutoka Tanzania, aliyekuwa mwanachama wa kundi la kigaidi ISIS, anashiriki nasi hadithi yake yote." mahojiano haya yamrchaiswa na Puntland Security Force kupitia mtandao wa X...
  8. Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  9. W

    Msamimamizi wa 'DayCare' akamatwa kwa kutumia Watoto kutengeneza video za ngono

    Mwendeshaji wa kituo cha kulelea watoto Kiambu afikishwa mahakamani kwa kutumia watoto kutengeneza video za ngono Mwanamke anayesimamia kituo cha kulelea watoto katika Soko la Wangige, Kaunti ya Kiambu, amekamatwa kwa tuhuma za kuwadhulumu kingono watoto wadogo. Kulingana na nyaraka za...
  10. Q

    Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyatangaza maandamano ya CHADEMA leo Septemba 23

    By Reuters NAIROBI, Sept 23 (Reuters) - Tanzanian police arrested two opposition leaders again on Monday, their party and police said, to stop anti-government protests in the commercial capital Dar es Salaam. The main opposition party CHADEMA's chairman Freeman Mbowe was detained on the street...
  11. Baada ya viongozi wa CHADEMA kukamatwa, je tutegemee tamko kutoka ubalozi wa Marekani?

    Wanabodi, Nadhani wote tuliona kuwa ubalozi wa Marekani ulitoa tamko kuhusu utekaji na kuuwawa kwa aliyekuwa kada wa CHADEMA Ali Mohamed Kibao. Siku ya leo viongozi wa CHADEMA ikiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu walikamatwa na Jeshi La Polisi pindi wakiwa mbioni kuongoza maandamano hayo...
  12. Q

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao. Hata...
  13. Sean "Combs" Diddy akamatwa

    Sean "Diddy" Combs was arrested in Manhattan on September 16, 2024, following a grand jury indictment related to an ongoing federal investigation involving allegations of sex trafficking, sexual assault, and other criminal activities. This arrest came after his properties were raided by federal...
  14. Mchungaji anayesakwa na FBI kwa biashara ya ngono kwa watoto akamatwa

    Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu amekamatwa Ufilipino. Apollo ambaye kanisa lake la Kingdom of Jesus Christ (KOJC) linadaiwa kuwa na...
  15. J

    Wafanyabiashara wahofia kukamatwa na Polisi walipouawa wananchi wawili Geita

    Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi. Mzizi wa hofu hiyo ni vurugu zilitokea jana baina ya wananchi na polisi na kusababisha watu wawili...
  16. Kwa sasa usikubali kukamatwa na mtu yeyote hata kama anavielelezo ,na usikubali mtu akamatwe mbele yako pigana mpaka kufa hatuna Tena wa kumuamini ,

    Nchi imebadilika hakuna wa kumuamini Tena ! Ukamataji wa kizamani hakuna atakayekubaliana nao Tena ,ukiona mwenzako anakamatwa mbele yako au wewe mwenyewe tambua kwamba unaenda kufa au kutupwa kusikojulikana ! Pigana kwa siraha zote uhai Hauna nyongeza sisi sote ni wazazi tuna watoto na wazazi...
  17. Mjumbe Kamati Tendaji Tanga ashambuliwa baada ya kukamatwa na Mwenyekiti UVCCM pamoja na green guard

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
  18. Mkosoaji wa China akamatwa kwa mashitaka ya ujasusi marekani

    Huyu alikimbia toka China bara akakimbilia Taiwan baadae akaenda kusaka hifadhi marekani kama mkosoaji mkubwa wa China. Imekuja gundulika alikuwa jasusi wa China ndani ya marekani. Inavyoonekana sio kila mkosoaji wa nchi fulani hasa hizi kubwa anaye kimbia nchi yake na kukimbilia nchi nyingine...
  19. Mtu Aliyehukumiwa Miaka 13 Jela Asahaulika Kukamatwa, Badala Yake Akageuza Maisha Yake

    Mtu huyu alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela, lakini walimsahau kumkamata. Mnamo mwaka 1999, Cornealious Anderson alihukumiwa kwa kosa la ujambazi akiwa na silaha huko St. Charles, Missouri, na kuhukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitatu gerezani. Akiwa nje kwa dhamana, Cornealious na wakili...
  20. Nani anayelipia usambazaji wa habari hii kuhusu kukamatwa wanachadema?

    Viashiria vinaonesha yupo mtu au kundi la watu wanaolipia hii habari ili iwe viral.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…