kukamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  2. Dereva wa gari lililogonga na kusababisha vifo vya watu sita Mwanza akamatwa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Oswald Kaijage (39) mkazi wa Buswelu kwa tuhuma za kusababisha ajali katika eneo la Kiseke mkoani humo na kupelekea vifo vya watu 6 na wengine 16 kujeruhiwa Ajali hiyo ilitokea siku Jumamosi nyakati za asubuhi katika eneo la Kiseke Wilayani Ilemela...
  3. Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  4. C

    DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

    Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari. Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha. Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe...
  5. Kulipishwa na kukamatwa kwa ndege za Watanzania

    Kila ninapotafakari chanzo cha kushindwa kesi na kukamatwa mali za Watanzania, maswali ni mengi majibu ni machache. Je, ni kwa sababu wakati tunaingia mikataba na hizo kampuni tunaangalia upande wa faida tu bila kuona risk ya vipengele kwenye mkataba? Au ni kwa sababu vipengele vya kujitoa...
  6. Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

    Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
  7. Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  8. DOKEZO Lissu na Mbowe wanatafutwa kukamatwa

    Zipo taarifa zisizo rasmi Mbowe na Lisu nao wanatafutwa kukamatwa kwa kosa la kukosoa uingiwaji wa Mkataba ule wa Bandari na kutoa kauli za kumtweza bi chaunabe. Je, taarifa hizo zina ukweli wowote?
  9. Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

    Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Polisi Arusha, Amekamatwa mara baada ya High Court Arusha kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP Taarifa zaidi kukujia ======== Tweet yake ya mwisho ilikuwa .... Mahakama Kuu ya Tanzania Arusha Leo tarehe 17 Julai 2023 IMEFUTA PLEA BARGAIN iliyoingiwa Kati...
  10. Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  11. Kahama: Akamatwa kwa kujiunganishia huduma ya maji

    IKIWA imepita siku kadhaa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama (KUWASA) kukamata mwizi wa huduma ya maji, kwa mara nyingine imemkata mkazi wa mtaa wa Mwime Manispaa ya Kahama Hamisi Omary kwa tuhuma ya kujiunganishia maji kinyemela na kusababisha mamlaka hiyo kukosa mapato...
  12. B

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Dereva wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Lusajo Makiwelu, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuwamwagia kemikali watu wawili akiwemo mtalaka wake, Witness Nguvalwa (31) na mtoto wake mwenye umri wa miezi sita (jina limehifadhiwa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha...
  13. Jenerali wa kwanza akamatwa baada ya tukio la Wagner

    Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
  14. Senegal: Mwalimu wa Madrasa akamatwa kwa tuhuma za Kubaka Wasichana 27

    Jeshi la Polisi Nchini #Senegal, linamshikilia Mwalimu huyo ambaye amekuwa akitafutwa kwa wiki kadhaa baada ya kuripotiwa kuwafanyia kitendo hicho Wanafunzi wake wa Kike aliokuwa akiwafundisha kusoma Kurani. Mshukiwa alitoweka baada ya shutuma hizo kuibuka mapema mwaka huu (2023) kufuatia...
  15. DJ aliyerekodi Video wakati mkewe akinywa Sumu hadi kufa, akamatwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Nchini #Kenya, linamshikilia kwa mahojiano, #DJBrownskin (Michael Macharia Njiiri) anayedaiwa kurekodi tukio hilo ambalo limetajwa kuwa ni kosa la kusaidia kuua, kinyume na Kifungu cha 225 (c) cha Kanuni ya Adhabu. Upande wa Upelelezi umesema DJ huyo aliacha bila kuchukua hatua...
  16. Arusha: Aliyemng'oa jino na kumjeruhi mke wake akamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mke wake aitwaye Jackline Mkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini humo. Akitoa taarifa hiyo leo Mei 28, 2023 Kamanda wa...
  17. Katavi: Mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo yenye thamani ya milioni 247

    Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
  18. Dar: Ajaribu kuwakimbia polisi lakini aishia kukamatwa

    Hii imetokea mtaa wa Lumumba, haifahamiki kulikuwa na nini? Jamaa walikuwa wamekunjana kama ugomvi katikati ya kundi la watu. Hamadiii, difenda ya polisi yawasili na askari kuanza kupiga risasi hewani. Jamaa mmoja (mwanaume wa dar ) anakamatwa na kuanza kula makofi kisha anapakiwa kwenye gari...
  19. Mauaji ya Darlene Krashoc - Muuaji akamatwa baada ya miaka 40

    Darlene Krashoc alikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi tangu angali mtoto. Alitaka kuwa kama mama yake ambaye naye alikuwa mwanajeshi na hivyo aliwataarifu wazazi wake kuwa anataka kutuma maombi ya kujiunga na jeshi kabla ya kumaliza masomo yake ya sekondari. Kupatikana kwa Mwili wake Kipindi...
  20. B

    Mtanzania akamatwa na dawa za kulevya India

    Abiria mmoja Mtanzania amekamatwa juzi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi nchini India, baada ya kukutwa akiwa amebeba dawa za kulevya aina ya cocaine. Msafiri huyo aliwasili akitokea Addis Ababa, Ethiopia na dawa hizo zilikuwa zimewekwa kwenye chupa tatu za pombe kali aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…