kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwani ukitaka kujiunga na TISS unafanyeje?

    Nauliza tuu 🤔🤔.
  2. Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  3. Bunge laridhia azimio la Tanzania kujiunga na mkataba wa usalama angamtandao (mkataba wa malabo)

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio la mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Usalama wa Angamtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa mwaka 2014, maarufu kama Mkataba wa Malabo. Azimio hilo limewasilishwa Bungeni na Waziri wa Mawasiliano na...
  4. Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  5. A

    KERO Changamoto ya AVN kwa Wanafunzi wa DIT Wanaotoka Diploma na Kujiunga na Shahada (Bachelor’s Degree)

    Ningependa kuwasilisha changamoto inayowakabili baadhi ya wanafunzi wa stashahada (Diploma) katika Chuo cha DIT, hasa wale wanaotaka kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Bachelor’s Degree). Changamoto hii haiwahusu wanafunzi wote, lakini nimebaini kuwa baadhi yao wameathirika na hali hii...
  6. TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

    Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene, Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji . Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima...
  7. Tetesi: Saudi Arabia kujiunga na Abraham Accorda kutakuwa na faida pande zote Israel na Saudia!!

    Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, akizungumzia uhusiano kati ya Israel na Saudi Arabia: Waisraeli wangefurahia sana kufikia makubaliano ya kiusalama na Saudi Arabia, na wangependa kuona Saudia ikijiunga na Makubaliano ya Abraham. Hakuna kusita kwa upande wa Israel katika suala...
  8. Ninayo furaha kujiunga na JamiiForums

    Kwa takribani miaka 10 nimekua msomaji wa JamiiForums bila kua mchangiaji, sasa rasmi nimejiunga rasmi nitajumuika kuchangia mada mbalimbali Shukrani sana.
  9. Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  10. Huwezi kujiunga na familia ya Malkia wa Sheba kwa kujichekesha chekesha na kujikosha. Hesabu zako za 2030 zimeshafeli

    Hamjambo! Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi. Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale vijana wenye ndoto kubwa za kuwa Namba moja, sio my number one ya Diamond. Hapana, Nazungumzia Jokery...
  11. Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
  12. Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake. Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
  13. Kwanini mtu mwenye miguu kama hii haruhusiwi kujiunga na jeshi ?

    Hii imekaaje kitaalamu
  14. Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
  15. Siasa za migongano: Nchimbi na harakati za kujiunga na mtandao na jengo la la UVCCM ( 1998 - 2008)

    Hakuna mtu wa CCM hajui ugomvi wa Nape na Nchimbi juu ya Jengo la UVCCM na mpaka leo Nchimbi pale anamiliki Floor, jana nilishangaa Msingwa kichwa maji anasema kuwa eti hakuwahi kusikia kuhusu stori ya UFISADI. Kila mmoja hapa nenda tu Google kaulize stori ya Nchimbi na Jengo la UVCCM na hata...
  16. Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  17. Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  18. HOJA Muda wa kujiunga na Mfumo wa Ukaguzi vyombo vya moto (MIMIS) uongezwe, badala ya Julai 31, 2026

    Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe. *** Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya moto kuhakikisha wanaviingiza katika Mfumo wa Uratibu wa Ukaguzi (MIMIS) na kukamilisha taratibu zote...
  19. Najuta kujiunga na jeshi la polisi

    Hiii sio kazi ni presha Kila mtu boss wako Unakaa kwa Machale Kazini chuki, mtaani chuki Rushwa kila kona Ama kweli najuta kuwa polisi
  20. A

    HOJA Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD)

    Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD). Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi waliosoma katika shule za ufundi (Technical Secondary Schools), wakasoma mchepuo wa Science...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…