kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  2. Uliwahi kufanya maombi ya mfungo na ukafanikiwa. Tusaidie namna ulitekeleza mfungo wako

    Jina la Mungu linuulie wakuu. Karibuni kwa michango yenu itakayo kuwa baraka kwenu kwa maana mtasaidia wengi.
  3. M

    Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym. Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
  4. Msaada: Usumbufu wa Makampuni/Mitandao inayokopesha mtandaoni na nini cha kufanya

    Habari za mapumziko wote mtkaopata nafasi ya kusoma hii thread Mada yangu inahusu makampuni au mitandao inayotoa mikopo online, ambayo wengi kwa namna moja ama nyingine wameweza kupata usumbufu. Sio lazima uwe umeshakopa hata pia matangazo yao unapojaribu kuingia kwenye Mitandao mingine...
  5. Soma biblia kama mwanafunzi anayejiandaa kufanya mtihani

    Habari zenu wadau nimewaletea somo hili muhimu kwa wale wote wakristo kwa lengo la kufundishana na kukukumbasha ili sote tuweze kutenda sawa sawa na maandiko yanavyotutaka Biblia inafundisha kila kitu katika maisha yetu haya tunayoyaishi Biblia inatufundisha kufakari neno la Mungu usiku na...
  6. Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  7. Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  8. Madam samia: Huu si wakati muafaka kufanya uchaguzi

    Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi...
  9. R

    Watoto wa viongozi wa CCM hata wa primary wanaruhusiwa kufanya siasa majukwaani; wasomi wa vyuo vikuu siasa marufuku. Tumelogwa?

    Chama cha mapinduzi baada ya kuona siasa zinazalisha viongozi shupavu kutoka vyuoni kilikuja na mbinu yakukataa siasa kwa wanafunzi wa vyuo. Ili watimize lengo lao wakapiga marufuku siasa wakishirikiana na wakuu wa vyuo na maprofesa na madaktari waliosimamia Katazo hili wakapewa uteuzi. Leo...
  10. Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa Biashara hizi zilizopo mtaani Maduka ya vitu vya rejareja Maduka ya vipodozi Wachoma chips Migahawa Maduka ya dawa nk Kwanini sasa biashara hizi watu hawatajiriki au...
  11. Maoni yangu kwa utumishi (Secretariat ya ajira) especially kwa kujiongeza kufanya usaili wa ajira online

    Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili. Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia, Ila...
  12. BAVICHA yatinga Rufiji, Yakagua Mafuriko na kufanya Tathmin kabambe

    Viongozi wa Bavicha , ambayo imetajwa kote Duniani kama Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , imefika Rufiji kwa ajili ya kuwafariji Wahanga na kushiriki uokozi, ikiwa ni pamoja na kufanya tathmini ya madhara yaliyotokea. Baada ya kumaliza ziara hiyo wataongea na Waandishi wa Habari...
  13. KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa! Kwenu wataalam...
  14. Mzazi jukumu lako ni kunifundisha jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na sio unifanyie Maamuzi

    MZAZI JUKUMU LAKO NI KUNIFUNDISHA JINSI YA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA SIO UNIFANYIE MAAMUZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wewe ni wewe. Mimi ni Mimi. NI kweli wewe ni mzazi na mimi ni mtoto. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Mimi. Utabaki kuwa mzazi lakini hautakuwa mimi na mimi sitakuja...
  15. M

    Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha

    Fahamu cha kufanya pindi unapovamiwa na adui mwenye silaha.
  16. Kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi au sio dhambi?

    Binafsi siri ya kuwa mtu makini na mwenye misimamo yangu binafsi ni baada ya kugundua taarifa nyingi ambazo watu wanazibeba kuwa ndio kweli mara nyingi si si za kweli. Wrong information Unakuwa mjinga na mtumwa bila kujijua. Nina swali, mnipe majibu kupitia Biblia ambayo na mm nimeisoma...
  17. Hivi mashabiki wa Yanga hatuwezi kufanya mandamano ili CAF wapate ujumbe kuwa tumeonewa

    Nimewaza sana uhuni uliofanyika South Africa je mashabiki hatuwezi fanya mandamano ili dunia ya soka ikajua uhuni tuliofanyiwa yani kwa idadi ile ya parade ya ubigwa tunavyokuwa wengi sasa hii iwe ya kupinga maamuzi ya refa South na mabango yetu kabisa uliwengu wa soka ujue ili next time uhuni...
  18. Je unaweza kuweka feni kwenye ceiling baada ya kufanya finishing?

    Habari ndugu zangu Moja kwa moja kwenye mada! Kuna nyumba bi mkubwa amejenga karibuni ila changamoto ni kwamba mkoa aliojenga una joto kali sana! Nilikuwa naomba kuuliza hivi nyumba ikishafanyiwa finishing inaweza kuwekewa feni ile ya juukwenye ceiling??? Au kuna kifaa gani kingine cha...
  19. Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  20. M

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…