kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Uelekeo sahihi ni kuongeza kuzaana, ujerumani kufikia 2045 itakuwa Haina vijana wa kufanya uzalishaji

    Imeripotiwa kuwa, mwaka 2025 Nchi ya ujerumani ilikuwa na vijana milioni 83. Kutokana na uwepo wa idadi ndogo ya vijana walio tayari kuzaa watoto, nchi Yao imegoma kukua, Imeripotiwa kuwa kufikia mwaka 2045, idadi ya vijana itakuwa milioni 81 pekee, Sasa hiyo ni miaka ishirini mbele ambapo...
  2. ZAMA ZIMEBADILIKA. HIKI NI KIPINDI AMBACHO UNATAKIWA KUFANYA CHOCHOTE HALALI ILI USURVIVE!

    Kuna kauli ambayo vijana wengi tunapaswa kuifikiria upya: "Sio lazima wote tuwe wajasiriamali." Ni kweli, si lazima kila mtu awe mjasiriamali. Lakini katika mazingira ya sasa, ni muhimu kila mtu ajifunze namna ya kujitengenezea fursa za kipato. Zama zimebadilika. Gharama za maisha...
  3. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya Ziara ya Siku 3 jijini Arusha

    Arusha hii si ya kukosa Kipenzi cha Waranzania Rais Samia Kufanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Mkoani Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Arusha kuanzia Novemba 19 hadi 21, 2026. Akizungumza...
  4. Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Mazoezi yana faida nyingi sana kimwili na kiakili Piga push-up, kimbia mchakamchaka, Cheza mpira , basketball , volleyball, Ruka kamba, Endesha baiskel, Tembea kwa umbali mrefu, kufanya hivyo utaimarisha kinga ya mwili, UtaKuwa na pumzi ya kutosha, Utaepuka magonjwa nyemelezi, UtaKuwa na...
  5. F

    Ikibainika nchi A, imetuma watu wake nchi B kufanya vitendo kinyume na Sheria, Nini hutokea?

    Yani Kwa mfano, nchi A ina wakosoaji waliokimbilia nchi B na kupewa hifadhi, Nchi A ikituma "watu wake" wakafanya operation Kwa siri nchi B kinyume na Sheria za nchi husika kama ubakaji, ufiraji, mauaji nk nk ,na baada ya uchunguzi ikabainika nchi A imehusika, Swali . Hatua zipi huchukuliwa...
  6. M

    Dar: Maafisa wa Bodi ya Filamu wapita baadhi ya maeneo kufanya msako kwenye Library Bubu kwa wanauza kazi za wasanii bila vibali

    Timu ya maafisa kutoka Bodi ya Filamu ilipita baadhi ya maeneo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kufanya msako mkali kwenye Library Bubu na kwa wale wote wanajishughulisha kwenye kuuza kazi za wasanii bila vibali ambapo kadhaa wamewajibishwa
  7. Mbinu ya Kufanya Mtu Aongee Bila Kuchoka: Siri ya "Kuvuta Neno" Kwenye Maongezi

    Habari zenu wadau wa JF. Umeshawahi kukutana na mtu mkakaa dakika tano tu halafu stori zinaisha, mnaanza kuangaliana kama mpo kwenye daladala la Mbagala? Au unataka kumtoa mtu maneno mdomoni bila yeye kuhisi unamchimba? Kuna mbinu moja nzuri sana ya kisaikolojia inaitwa Kuvuta Neno...
  8. NSSF namna ya kufanya madai kwa njia ya mtandao

    Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu . Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka Utaratibu ndio huo hapo chini Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
  9. E

    Mbeki aunga mkono Ramaphosa kujiuzulu baada ya ANC kufanya vibaya uchaguzi

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema Rais wa sasa wa nchi hiyo, Cyril Ramaphosa, anapaswa kuwajibika kwa matokeo mabaya ya Chama cha African National Congress (ANC) katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2026, akieleza kuwa kujiuzulu kungekuwa hatua sahihi. Soma zaidi...
  10. M

    Kuna ukweli Mapusha, majambazi, Majangili, n.k. wanabagua makabila ya watu wa kufanya nao kazi pamoja ?

    Katika maisha ya uhalifu kuna levels na kadri levels zinavyozidi kuwa kubwa, hatari ni kubwa. Kuna ukweli Mapusha, majambazi, Majangili, n.k. wanabagua makabila ya watu wa kufanya nao kazi pamoja ?
  11. Namna ya kufanya kukabiliana na joto kali la El nino.

    Joto ni kali sasa kuliko tulivyozoea. Athali za joto la jua kali mwilini: 1. mwili Kupoteza maji mengi kwa njia ya jasho: Hii ni mbaya kwasabu mafigo yatapitisha maji kidogo sana kuliko kawaida, hivyo kupata mkojo kidogo sana. hali hii inayaponza mafigo kuharibika kirahisi. 2. damu kuwa nzito...
  12. Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  13. Kwa uonevu alioufanya kwa sasa ataishia kufanya mikutano ya ndani tu. Kwa hofu

    Ndo hivo kwa sasa ni mwendo wa ukumbini tu na viwanjani baasi.
  14. Dorothy Semu (ACT Wazalendo): Shilingi Trilioni 51.92 za Mkopo wa Serikali zimetumika kufanya nini?

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo ameihoji Serikali ya awamu ya Sita chini Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu matumizi ya mikopo ya Trilioni 51.92 zilizokopwa ndani ya miaka mitano ya utawala wake. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Kigoma Kaskazini Kata ya Nyarubanda, ambapo...
  15. Lema: Tunakwamishwa na Wanaharakti walioko mbali na nchi. Tunashindwa kufanya Strategic Engagement

    Katika Press inayoendelea ya Bwana GODBLESS LEMA sasa hivi https://www.youtube.com/watch?v=FY5m3_OEpqQ Amesikika akisema kwamba:Watu wanaozea Jela kwa sababu Wanaharakati wamekiteka Chama na Wanasema Hakuna kuzungumza nao hata watu wanapokuwa JELA ilhali hao wanaharakati wenyewe hawapo Tanzania...
  16. Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi kitengo cha customer care. Hawa watu wanabeba lawama za Mataasisi na Maofisi. Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kosa. Mimi nimewai kuona Boyfriend wa mteja alikopa pesa kwenye App...
  17. Z

    Unaanzaje eti kufanya maridhano na chama ambacho kucha kutwa kina panga mikakati ya kuvunja amani ya Nchi?!!

    Hata kama ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani Chadema, lakini kwa mwenendo wake wa kichochezi inapoteza uhalali na sifa ya kufanya maridhiano. Haitakiwi kufanya maridhiano na genge la wahuni/ wahalifu magaidi wahaini. Tunaomba msajili wa vyama akifute mara moja chama cha Chadema kwamaslahi ya...
  18. Wana bahati hawajajitokeza kufanya vurugu. Wasirudie

    Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele. https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
  19. Ogopa kufanya vita na hawa viumbe wa Jf

    Wewe kama mgeni , ipo siku watakushangaza mno , na hautategemea kabisa, wewe endelea kujichetua tu😅😅😅 Note.bia ipo kwenye rada nawacheki tu🤣
  20. O

    Mombasa: Mama Akamatwa kwa Kuzuia Mtoto Kufanya Mtihani wa KPSEA kwa Sababu ya Namba 666

    Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani. Kwa mujibu wa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…