kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiukweli kabisa, serekali hii ni sikio la kufa. Aidha wanatudharau au wanaona hatuna cha kuwafanya

    No reform No election ilianza hivi hivi. Chadema ambao ndio wanaopush agenda za wananchi, waliwaambia serekali na CCM kwamba bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi. Serekali ikiwadharau. Mh Lisu na kamanda Heche wakapita mikoani kuwaeleza wananchi wasiende kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu na...
  2. O

    “Alikataa Rushwa ya KSh50,000, Akapigwa Karibu Kufa!” Msimamizi wa KCSE Atekwa na Kushambuliwa Kwale

    Msimamizi wa mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Nne (KCSE) katika Kaunti ya Kwale anauguza majeraha makubwa baada ya kudaiwa kutekwa nyara na kushambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanafunzi wa Kidato cha Nne na washirika wao, kufuatia kukataa rushwa ya KSh50,000 iliyolenga kuruhusu udanganyifu...
  3. L

    Yericko Nyerere: CHADEMA inatakiwa kufa sasa kwa sababu haijui inachopigania kwa sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma Hapa Kilichozungumzwa na Mwanachama huyo wa Zamani wa CHADEMA na ambaye alikuwa na ushawishi kwa Viongozi Waandamizi wa CHADEMA Taifa Haya hapa Mazungumzo yake nimeyaleta kama Yalivyo👎Mwanachama wa Chama cha CHAUMMA, Yericko Nyerere, amesema Chama cha...
  4. F

    Kuna busara gani kujenga jumba la kufa mtu kijijini halafu ukapanga mjini?

    Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu? Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
  5. Kufa Ukiwa Umesimama au Kupiga Magoti?

    Je, ni kifo kipi bora: kufa ukiwa umesimama au ukiwa umepiga magoti? For me ShesRise_1 najua kifo ni kifo Kama mtu mmoja maarufu alivyosema Nukuu: Kifo ni kifo ! Lakini kufa ukiwa umepiga magoti, ukilamba miguu ya adui yako ili tu akuache uendelee kuishi ni jambo ambalo kwangu ni gumu...
  6. F

    Je ni rahisi watoto na wajukuu kuvunja ndoa ya wazazi waliokwisha kufa zamani(Tanganyika na Zanzibar)?

    Wazazi walifunga ndoa wakamaliza, na wamefariki wakiwa ndani ya ndoa. Sasa watoto na vijukuu baada ya kusoma wosia wa marehemu Babu na bibi zao waliokwisha kufa, hawaridhiki na mirathi, Sasa wameamua kuomba ndoa ivunjwe, Watoto hawa wamejaribu muda Sasa kuhoji ilipo hatia ya ndoa ili watafute...
  7. Unahitaji kufa kabla hujafa, ili uweze kuishi.

    Binafsi Nime undergo many circles of change, ila naona kabisa bado. Kuna time, inabidi u let go of the old version ili a new you awe born. Yaani kuna time, inabidi u empty out all the things uko attached to, ili uweze kuanza upya. Hauwezi kubadilika kama nervous system yako bado inamuwaza...
  8. Enyi sikio la kufa, nimewiwa nitoe codes kwa mara ya mwisho

    Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno .....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa...
  9. Raia 2 wa Bangladesh wanyongwa baada ya kukutwa wakifanya Mapenzi Msikitini Makka

    Raia wawili wa Bangladesh wamenyongwa kisha miili yao kusafirishwa mpaka nchini mwao baada ya kufanya kosa la kufanya mapenzi katika Msikiti huko Maka nchini Saudi Arabia 🇸🇦 ambapo ni kosa na kinyume na sheria za taifa hilo la Kiislam. Ubalozi wa Bangladesh nchini Saudi umedai kuwa hawakupewa...
  10. T

    Dada Poa anayeitwa Latifa adaiwa kuuwawa na "Mteja". Akutwa uchi akiwa amenyongwa

    Mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Latifa, anayefanya biashara ya ngono, amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya kukutwa ndani ya chumba namba nne katika Lodge ya Dolphin, eneo la Kaloleni jijini Arusha, usiku wa kuamkia Oktoba 18, 2026. Kwa mujibu wa mashuhuda, Latifa...
  11. M

    Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

    Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu, kufuatia madai ya mgogoro wa kifamilia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Mahamoud Banga, amethibitisha kutokea kwa...
  12. Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

    Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
  13. Mwanaume: Tabia 5 ambazo ukiziendekeza basi fahamu kwamba kufa mapema au kwenda jela kwako ni jambo lisiloepukika.

    1. Tamaa ya Mali na Fedha 2. Kiburi na Ujuaji 3. Wizi na Utapeli 4. Dhambi za Zinaa na Uzinzi 5. Hasira zisizo na mipaka
  14. Katika Awamu ya 6, Sekta ya Ujenzi kwa makampuni ya wazawa imehujumiwa sana. Makampuni mengi yanaelekea kufa

    Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe. Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13% ya uzalishaji wote nchini(GDP). Cha kusikitisha katika miaka ya karibuni, sekta hii haina usimamizi...
  15. Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  16. Dunia inafahamu ukweli kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Lissu ameiambia Mahakama akipatikana na kesi anyongwe mpaka kufa asipopatikana na kesi aachiwe huru

    ‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini ni kuachiwa huru au kunyongwa hadi kufa. CCM wanasema Mahakama iamue kwa hisia tu‬ ‪Anyways...
  17. Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Kufuga senene kwa ajili ya biashara ni wazo jipya lenye fursa kubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kwa muda mrefu senene wamekuwa wakivunwa tu msimu wao unapowadia (kawaida kuanzia Novemba hadi Desemba na mara chache mwezi Aprili/Masi). Hata hivyo, ufugaji wa senene kibiashara unahitaji udhibiti...
  18. Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  19. Eti akitangulia kufa kabla yangu, nitaoa tena?

    Mie nimemjibu kwamba..... Siwezi kurudia kosa tena....😒 Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
  20. Kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa Vs akiachiwa huru na mahakama?

    Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi. Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe na hatia achiwe huru na mahakama. Kwa hizo scenarios kutatokea nini Lissu akikutwa na hatia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…