kuendesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Natafuta mtu au watu wa kusaidiana kuendesha TV Channel

    Habari zenu, natafuta watu wa kusaidiana kuendesha TV. TV ni ya burudani, inaanza mwezi ujao kuonekana kwenye satellite na itapatikana Afrika nzima. Kila kitu kipo sawa na imesajiliwa. Kama uko tayari, nidm. Si lazima uwe na pesa, unaweza kuwa na pesa au ukawa mjanja wa kupata matangazo...
  2. Mfanyabiashara avunja rekodi ya kuendesha pikipiki juu ya maji kwa zaidi ya umbali wa kilometa 40

    Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China. Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia...
  3. Hata Mradi wa SGR unatushinda kweli Kuendesha?

    Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi, Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu...
  4. C

    Polisi :umeenda kwenye sherehe , ukalewa piga simu Polisi tutakuja kukusaidia kuendesha

    Lakini sisi kama jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani tunashauri, endapo labda kuna semu mmeenda, either kwenye sherehe au maeneo yoyote yale ya starehe, umekunywa pombe, asiwieme wewe ambaye unaonekana ni dereva unayeendesha chombo kile au unatarajia kuongoza chombo kile. kawa...
  5. M

    Je mtu unaweza kujifunza kuendesha pikipiki Kama hujawahi jifunza baiskeli?

    Wakuu Nina miaka 34 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  6. Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

    Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake. Hii CHADEMA ya sasa inapaswa...
  7. CCM inatumia mfumo wa Frog boiling effect kuendesha nchi

    Frog boiling effect au boiling frog syndrome ni maelezo ya dhana ya kisaikolojia kuwa binadamu anaweza kuvumilia jambo baya akifanyiwa kwa taratibu (awamu kwa awamu) kuliko jambo hilohilo akifanyiwa kwa ghafla kwa wakati mmoja. Maelezo ya dhana hiyo yanaonesha kuwa kuna chura aliwekwa Kwa...
  8. Malkia wa Thailand kaendesha Fighter Jet Saab JAS 39C Gripen peke yake. Kwahiyo ndio Malkia wa Kwanza Duniani kuendesha Fighter Jet.

    Queen Suthida, na miaka yake 48, kawa first female mornach kuendesha fighter jet peke yake. Kwenye moja ya air base nchini Thailand, Malkia kaendesha peke yake Single-seat JAS 39C Gripen kwa muda wa dakika 41. Maza ana CV nzuri tu ya kuendesha ata kabla hajawa Queen. Amewahi kua pilot tokea...
  9. T

    First Public Release of the NEXTGAMIS ABS / Toleo la Kwanza Kwa Umma la NEXTGAMIS ABS - Mfumo wa Kusimamia na Kuendesha Biashara ya Uwakala

    Habari WanaJF, Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki: https://www.youtube.com/watch?v=sIVh3DThz7M Maelekezo kamili yapo kwenye PDF iliyoambatanishwa hapa...
  10. Wakuu Tujifunze Kuendesha Ndege Tuepuke Vifo Vya Kipumbavu

    Kama ilivyo siku hizi, karibu kila mtaa kuna dereva wa gari au pikipiki. Ni vyema tukajitahidi kujifunza hata basic za ku-control ndege. 😂 Unakuta pilots wamepigana au wamekufa, nyie abiria mnaangalia tu. Mnashindwa hata mmoja kushika controls kwa sababu hakuna anayejua kuendesha ndege. Mwisho...
  11. Z

    Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi. Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi. Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
  12. Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  13. F

    Tanzania Health Summit, mnapoteza credibility ya kuendesha tuzo za afya ikiwa mfumo wa upigaji kura unaacha mianya ya kura zisizo halali.

    Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili. Pia, sina...
  14. AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  15. Diwani Mamba Myamba Same mbaroni kwa kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha kifo cha mwendesha boda boda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Diwani wa Kata Myamba wilaya ya Same, Greyson Kyondo Fue (42), kwa tuhuma za kuendesha gari kwa uzembe na kumgonga mwendesha pikipiki maarufu kama boda boda aliyetajwa kwa jina la Daudi Kibwengo (24), mkazi wa Kijiji cha Myamba na kusababisha...
  16. U

    MTU mfupi kwenye gari anabidi kuendesha na sio kuendesha.

    MTU mfupi kwenye gari ni vyema akaendeshwa.
  17. SOMO:Huwezi kuaminiwa na watanzania kuendesha nchi kwa hoja au agenda moja tu

    Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi. Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbalimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  18. M

    Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  19. Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  20. A

    KERO Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM zenye ubia wa kuendesha Maduka ya Vodacom zinachkua Vyeti vya Kitaaluma vya Wafanyakazi wake na kukaa navyo

    Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na kumbana zaid mfanyakazi kuombea Kaz kwingine
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…