kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, unatamani kuendelea na degree au ulikatishwa masomo na unatamani kurudi shuleni? Una nafasi ya pili hapa.

    Arusha International Open School inakupa nafasi ya kusoma na kupata cheti cha O Level kupitia program maalum kupitia mtaala wa kimataifa wa Cambridge unaotambuliwa na NECTA. Nafasi hii ni kwa nani? ✅ Wanafunzi wa Clinical Medicine, Pharmacy na Nursing wanaotaka kupanda hadi Shahada (Bachelor)...
  2. TAWA: JE, MTANZANIA AKIKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI, HULIPA FAINI NA KUENDELEA NA SAFARI?

    Je, kuna Mtanzania aliyewahi kukamatwa na TAWA au mamlaka nyingine za uhifadhi wa wanyamapori kwa kosa kama hili, akalipa faini na kuruhusiwa kuendelea na safari yake? Tukutane hapa tushirikishane uzoefu.
  3. Kizza Besigye wa Uganda kuendelea kuwa ndani kulikuwa kuna uhusiano na Lissu kuendelea kuwa ndani. Ila now ni kama Museveni kaamua yaishe

    Hesabu za kuendelea kumuweka Lisu ndani zinategemeana sana na za kule Uganda kwa Mseveni. Yaani Mtawala wa Tanzania Bench mark yake ya kumshikilia Lisu iko Uganda kwa Mseven kuendelea kumshikilia Kizza Besigye. Ila juzi kati ni kama Mseveni na yule Dogo wake wanataka yaishe kwa Kizza Besigye...
  4. D

    Ndo mana nchi za africa hatuwezi kuendelea. Tunadiscus very trivial

    Yaani hata wabunge wameingia hiyo trap ya kudiscuss ushoga. Wenzetu wazungu wanajadili issue kubwa kubwa kama uwekezaji eti sisi tunadiscuss ushoga siku nzima. Au uwezo wetu wa mambo ni mdogo kiasi hatuelewi tuanzie wapi tuoshoe wapi. Hivi mashoga mkiwaacha wanazuia vipi mikataba mikubwa...
  5. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  6. Kwa akili za huyu rais wa TAHLISO ni sahihi wazee kuendelea kulamba teuzi

    Kijana kapata nafasi ya kuongea na Rais akaomba kwenda kutukana wapinzani. Ni zaidi ya uwendawazimu. Rais wa TAHLISO kakosea sana. Hii kauli yake haifai kwenye nchi ya kistaarabu kama yetu. Halafu TAHLISO sio chama cha kisiasa wala idara ya CCM. Huyu angejikita kwenye malengo ya TAHLISO na hizo...
  7. Serikali inakataa uraia pacha ila cha kushangaza watoto wao na wasio watanzania ni raia pacha na wana passport kuanzia tatu na kuendelea.

    Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote. Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
  8. Q

    TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎 ============= Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
  9. HAKUNA SABABU YA LISSU KUENDELEA KUKAA NYUMA YA NONDO

    Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu. Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
  10. Tumshukuru Jihan kwa kutuondelea gundu taifa, shukrani pia kwa Wa-Asia kuendelea kulibeba taifa.

    Ushindi wa Jihan miss grand international unaendelea kudhihirisha jinsi gani umoja wa rangi/races, makabila na dini ni faida zaidi kwa Tanzania. Kwa siku za hivi karibuni Tanzania haijawahi kuonekana kinara katika jambo kubwa la kimataifa. Imechukua Mtanzania mwenye asili ya Lebanon kutuweka...
  11. Kuna biashara zinafanywa na viongozi ndio maana miradi ya serikali kuendelea itakuwa ngumu.

    Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele. Tumeona sukari,reli na n.k. Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
  12. Serikali Kuendelea Kushirikiana na Taasisi za Dini

    Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini, Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️Oktoba 4, 2026 📍HANDENI, TANGA —————————————————- Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa...
  13. DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

    NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE. HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩 HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA...
  14. N

    Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  15. M

    Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Niko katika Hali mbaya naombeni ushauri wenu. Mm ni mwanachuo mwaka wa pili Bachelor of science in nursing. Chuo kikuu kilichopo Dodoma (private), ambapo nalipa Ada 3M. +compulsory charges(350k). Jumla Kwa mwaka ni kama 3.4M. Hapo ni Ada na compulsory charges. Bado hela ya Kula mwenyewe...
  16. Je, aamue Kuendelea na kazi ama aende Chuo?

    Habari wana jukwaa! Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu. Ana mke na watoto, Na kama...
  17. Serikali yasisitiza wananchi kuendelea kusikiliza wataalamu athari za El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026. Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
  18. Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  19. Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, Dkt. Ashatu Kijaji. Je, anatosheleza kuendelea kushika nafasi ya Uwaziri wa Maliasili na utalii?

    Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na Utalii. Kwa mtazamo wangu, matukio haya yanaibua swali kubwa kuhusu ufanisi wa usimamizi wa sekta ya...
  20. Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…