kudai

Kudai are a Latin Grammy Award-nominated Chilean pop group that was founded in Santiago, Chile. Its original members were Tomás Manzi, Pablo Holman, Nicole Natalino and Bárbara Sepúlveda Labra. In 2006 Nicole Natalino left the group citing personal reasons, and was replaced by Ecuadorian Gabriela Villalba for three years. They released five albums in Latin America: Vuelo in 2004, Sobrevive in 2006, Nadha in 2008, Laberinto in 2019 and Revuelo in 2021.
With their debut single, Sin Despertar, which reached #15 at the Billboard Hot Latin Tracks, they received strong radio airplay in all of the Hispanic world. Sin Despertar was included in their album Vuelo, which was a worldwide success, reaching 3x Platinum status in Chile, Platinum status in Mexico, and selling over 500,000 copies worldwide.
They are well known for hit songs, such as Sin Despertar, Ya Nada Queda, Escapar, Déjame Gritar, Llévame, Tal Vez, Lejos De Aquí and Morir De Amor.
They also performed the theme song for Quiero Mis Quinces, a show for MTV Latinoamérica. "Quiero Mis Quinces" was also a hit in Mexico, reaching #7 there.
In November 2016, the band confirmed their return to the scenes with the original members.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakazi wa Kipunguni wafika ofisi za TAA kudai walipwe stahiki zao za kupisha upanuzi wa ‘Airport’

    Wananchi waliojitambulisha kuwa ni Wakazi wa eneo la Kipunguni, jana Novemba 24, 2026 walifika kwenye Ofisi za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Jijini Dar es Salaam wakidai kukamilishiwa malipo wanayodai yaliyotokana na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)...
  2. O

    Gachagua Aibua Mjadala Baada ya Kudai Mavazi ya Ruto Kwenye Harusi ya Binti Yake Yaligharimu KSh Milioni 100

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amezua mjadala baada ya kudai kuwa Rais William Ruto alivaa mavazi yenye thamani ya KSh milioni 100 wakati wa harusi ya binti yake, Charlene Ruto, iliyofanyika Mwanza, Tanzania, Novemba 6, 2026. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Lari...
  3. CRB imekaa kumuumiza mwananchi pasipo kudai uwajibikaji kwa mtoa huduma

    Kumekuwa na hii changamoto ya taarifa mbaya kwa mteja kupitia kitu kinaitwa CRB, mtoa huduma huwa hawajibishwi kuleta uthibitisho wa madai yake na hata pindi deni la mdai linapolipwa huwa hawajishughulishi kufuta taarifa mbaya walizomjazia mteja hapo awali na mbaya zaidi mteja hana fursa ya...
  4. O

    Mawakili Waandamana Jogoo House Kudai Polisi Waeleze Aliko Abshir Abdi

    Mawakili wameandamana nje ya makao makuu ya polisi ya Jogoo House jijini Nairobi wakitaka maelezo kuhusu kutoweka kwa mwenzao, Abshir Abdi. Waandamanaji hao walikusanyika nje ya jengo hilo wakiwa na mabango na bendera za Kenya, wakitaka vyombo vya usalama kutoa majibu kuhusu aliko mwenzao...
  5. Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  6. Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

    Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe. Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo...
  7. Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  8. VIJANA KUIPENDA TANZANIA NI PAMOJA NA KUDAI TANZANIA YENYE HAKI

    Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake. Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...
  9. Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  10. Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  11. B

    Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  12. Mbunge Ado Shaibu: Sitaogopa Binadamu, nitaendeleaza mapambano ya kudai haki

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameapa kutoogopa vitisho vyovyote na kuendelea kupigania haki za wananchi wake. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi, mbunge huyo aliwahutubia wale wanaokandamiza haki, polisi wanaonyanyasa raia...
  13. Roboti waandamana Warsaw kudai Udhibiti wa Akili Mnemba

    Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la Democratism kwa lengo la kuibua mjadala kuhusu athari za Akili Mnemba na matumizi ya roboti katika soko la...
  14. Afande Sele: Viongozi wanachochea wananchi kuzidi kudai katiba mpya

    https://www.instagram.com/reel/Dc8IZBMs-gw/?stkn=bmR4OHhueTUyZWFy
  15. Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

    Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili. Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti...
  16. M

    Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  17. A

    KERO Sungusungu Chamazi wanakuja kudai fedha usiku bila vitambulisho

    Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa mamlaka husika. Wanadaiwa kufika wakiwa zaidi ya watu 10, wakiwa na marungu, kugonga milango ya wananchi...
  18. Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  19. Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  20. Tetesi: Anko Shamte kudai mali walizochuma na Mtalaka wake

    Kama mnavyojua Anko amepewa talaka 3 na tayari washatengana na Mama. Nataarifiwa anakusudia kupeleka shauri mahakaman ili kupata hako ya mali walizochuma na mtalaka wake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…