kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Makonda: Huwezi kufananisha Uwanja wa Mkapa na wa Arusha, Wa Mkapa umefungiwa hauna Sifa, tunajenga uwanja wa AFCON, hatujengi wa Wasukuma kucheza

    Waziri, wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Christian Paul Makonda ameyasema hayo Novemba 4, 2026 wakati akijibu hoja zilizoibuliwa Bungeni na Baadhi ya Wabunge akiwemo, Baba Levo, na Mwita Waitara juu ya kupanda kwa gharama ya za Ujenzi wa Uanja wa michezo wa Arusha ambapo walidai kuna...
  2. Ashtakiwa na wazazi kwa kucheza mpira kuzidi watoto wengine

    https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12 https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12 https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12 Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa...
  3. Imagine kiongozi wa Chama kilichopokea ruzuku bil. 2.7 anatamka matamshi haya, Hii ni hasara kwa Taifa. CHADEMA acheni kucheza na Taifa letu.

    Kauli kama hii ingetokea China ... Tundu Lissu angenyongwa hadharani tena kwenye uwanja wa mpira siku hyohyo pamoja na watumishi wote wa hicho chombo kilichopost UPUMBAVU. Kisa familia zenu zipo kwa mabeberu kwahyo hamna cha kupoteza ndo mnafanya KAZI ya kuhubiri ujinga CHADEMA KOMENI HII...
  4. Kenya: Malecturer wa chuo wavaa vijora na kucheza taarab huku wakiendelea na mgomo

    Wahadhiri (Lecturers) wa Chuo Kikuu cha Multimedia nchini Kenya wameendelea na mgomo wao, huku wakiandamana wakiwa wamevaa madera ili kuvuta hisia za umma kuhusu malalamiko yao. Wahadhiri hao wanaitaka serikali kushughulikia madai yao kuhusu medical scheme, pension nk huku mgomo ukiendelea na...
  5. Unakuta unashuhudia mchezaji anaanza kucheza soka (debut) hadi unashuhudia akistaafu soka wewe bado uko vile vile unaishi na mandoo ndoo unamo lala

    Hali hii ni mushkeli aisee, Wenzangu wa "uchumi wa mandoo ndoo" mmeamkaje?
  6. HONGERENI CCM kwa kucheza karata zenu vizuri

    Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA Dudubaya mnamtumia nyie Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata...
  7. Je, Wakatoliki Kuimba na kucheza nyimbo za Walokole ni dhambi?

    Ni dhambi kwa Wakatoliki kuimba au kucheza nyimbo za injili kutoka kwa madhehebu mengine (ikiwemo za walokole) toka TAG, kama zina ujumbe unaompa Mungu utukufu. Kanisa Katoliki linakataza kusikiliza au kuimba nyimbo za Wakristo wengine mradi tu mashairi yake hayaendi kinyume na imani na...
  8. Wanawake wa Pwani wana staili moja tu ya kucheza ?

    Hivi wanawake wa Pwani uswahilini wana style nyingine ya sanaa ya uchezaji zaidi ya hii ya kubinua makalio juu na kuyatikisa kama feni ya pangaboi?
  9. Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

    Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda. Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china, Tusbiri...
  10. Karamajong, Uganda; wanaume kucheza wakiwa uchi ili kupata mke wa kuoa

    Nchini Uganda, jamii ya wafugaji ya Wakaramajong inaendelea kuangaziwa kutokana na mila na desturi zao za kipekee za asili ambazo zimehifadhiwa kwa vizazi vingi. Katika baadhi ya mila za sherehe za kijadi, wanaume wa jamii hiyo hujitokeza wakicheza ngoma wakiwa uchi au wakiwa wamevaa mavazi...
  11. Majibu kwa wanaohoji kuhusu actor Jason Statham kucheza uhusika mmoja mara kwa mara kwenye movies zake.

    Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka. Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni. Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
  12. Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
  13. M

    Nitumie mbinu gani kumuachisha kucheza e Football kijana huyu, linamlaza saa 10 alfajiri

    Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala saa 10 alfajiri hivyo analazimika kuamka saa 7 mchana. Nimeshaongea mno mpaka nimekata tamaa...
  14. Kwanini Watangazaji wa TV na Radio nchini Tanzania hawataki kucheza nyimbo za CIVILIAN-COIN au kwa kuwa Hana Pesa za Promotion? Je, nyimbo za mamtoni?

    https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya "Who am I?" na Leo "Home boy" lakini bado Watangazaji nchini hawataki kupiga. Wasiseme hawana HIZO...
  15. Leo nilikua hapa kupunguza mawazo na kucheza golf 🤣

    Life is bitch everything came an Go.
  16. K

    Kucheza Kwenye Uwanja wa Siasa: Barua ya Wazi kwa Rio Ferdinand

    Mpendwa Rio, Kuwasili kwako nchini Tanzania kumeleta msisimko mkubwa sana miongoni mwa mashabiki wa mpira wa miguu kote barani Afrika. Kama nguzo ya michezo duniani, sauti na uwepo wako vina uzito mkubwa sana. Kuona ukishirikiana na vijana na kujionea miundombinu ya hapa nchini kunaonyesha...
  17. Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from attending the tournament, citing safety concerns. It was already unclear whether such talks were even...
  18. Unfortunatly tumesharudi kucheza challenge za wasanii, nchi ikienda kombo

    Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa. Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii. Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio...
  19. Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

    Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema. Dr. Slaa amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…