kubadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Fanya Hivi Kubadili Taarifa za Kampuni Yako Brela.

    Mwezi huu peke yake mpaka kufikia Leo nimebadili taarifa za Kampuni 3 Tatu, hizi ni steps nilizotumia kubadili taarifa za Kampuni hizi ambazo ukizifuata utabadiki taarifa za Kampuni Yako ndani ya dakika 15 Tuu. 1. Log in kwenye website ya Brela ORS 2. Chagua new services hapa zitakuja list ya...
  2. Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
  3. Maana halisi ya kustaafu ni kupumzika, na sio kubadili kazi moja kwenda kwenye kazi nyingine

    Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo. Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini. Shamba langu litakuwa na mpangilio kama huu. Pia nitajenga kakibanda changu kadogo cha kupumzikia, pale nitakapohitaji kutafuta usingizi...
  4. Chawa wa Bongo Movie, na Wasanii Uchwara hatuwaoni Wakitumbuiza Kwenye Kikao cha CCM cha Kubadili Katiba

    Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa? Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu. Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote. Chawa sijaona...
  5. CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  6. M

    CCM ubinafsi, wajumbe wao wamelalamika kidogo, wamekubali kubadili kanuni, ila NRNE wagoma

    Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
  7. L

    Jinsi ya Kubadili Jina la Kampuni au Biashara ambalo lilisajiliwa BRELA tayari

    Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata; 1. Sababu za kubadili Jina la Biashara Either unafanya -Rebranding -unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa Etc 2. Angalia kama jina...
  8. Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  9. Paulo wa Tarso jasusi la kiroma lililopewa misheni ya kubadili mwelekeo wa Ukristo na kuwa upagani

    Hamjambo! Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan. Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi Raia; Warumi Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi. Paulo hakuwahi...
  10. Pasco Mayalla kubadili upepo, aelekea Mbeya kuchukua fomu.

    Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge. Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na...
  11. N

    Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  12. K

    Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

    Tanzania kila kitu kinawezekanika. Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea...
  13. W

    Tatizo la gari kukita wakati wa kubadili gear

    Habari wakuu. Naomba ushauri kwa wenye utaalamu na gearbox za automatic. SIku za karibuni nimepata changamoto na gari yangu Toyota Vanguard kwenye upande wa transmission. Wakati wa kubadili gear au nikipunguza mwendo sana gari inakita, nimebadili mounting mbili lakin tatizo bado halijaisha...
  14. Mbeleni kubadili jinsia itakua kawaida kama ilivo kwa sasa kuvaa suruali… Technologia ni rafiki wa muda

    Nimeona picha na video za mwanamke mmarekani mmoja aliyebadili jinsia. Kwa nchi za ulaya hii ni kawaida wao si kitu tena cha mjadala.Nadhani ni stage ya advancement waliyofikia ndio inawafanya wafikiri hivo Sipati picha hapo baadae miaka 100 ijayo wanawake wote hawataki kua wanawake tena...
  15. M

    Taratibu Jinsi ya kubadili matumizi card ya Gari toka Private to Busness

    Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
  16. Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024)

    Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024) | Nchi | Idadi ya LGBTQ+ (Makadirio) | Asilimia ya Watu | Sheria za LGBTQ+ | Marekani | ~31 million | ~9.2% | Ndoa halali (2015) | | Brazil | ~20 million | ~10% | Ndoa halali (2013)...
  17. Ombi la kubadili kituo cha kazi

    "Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
  18. Tec mkiamua mnaweza vzr san kubadili siasa za nch hii

    Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani Tec mnaweza...
  19. Tunapaswa Kubadili Mfumo Wa Utawala

    Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
  20. Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…