kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elon Musk ametangaza kua Tesla watasitisha uzalishaji wa Model S na Model X kuanzia Q2 ya 2026!

    Tajiri Elon Musk ametangaza kua kampuni ya Tesla itasitisha uzalishaji wa magari yake Model X na Model S. Tajiri kasema factory zilizokua zinazalisha ayo magari zitafocus kwenye marobot yake ya Optimus.
  2. Kuanzia kesho natulia, sitaki mchepuka nitaisoma biblia kwa moyo wangu wote

    Eee Mwenyezi Mungunisaidie No pombe No ngozi
  3. Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  4. CDF Muhoozi: Kuanzia sasa, yeyote atakayemtangaza Bobi Wine kuwa kiongozi wake wa kisiasa lazima 'afutwe'

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake hivyo kwa namna yoyote ni lazima wamkamate. Kupitia mtandao wa X Muhoozi amechapisha akisema kuwa...
  5. Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo. Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
  6. Jiandaeni kumpokea Tundu Lissu muda wowote kuanzia sasa

    Jiandaeni kumpokea Tundu Lissu muda wowote kuanzia sasa
  7. M

    Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  8. Safisha safisha inaendelea huko serikalini, muda wowote kuanzia sasa Korogwe ataondolewa

    Ni kama kuna safisha safisha huko serikalini. Nineambiwa baada ya mapete sasa ni zamu ya Korogwe. Tega sikio…
  9. SGR Leo vipi watu kituoni kuanzia asubuh mpaka sasa

    Na hamna tangazo na wala hamsemi shida ni nini?
  10. Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  11. KERO Kuanzia airport Mbeya mpaka Songwe njia imefunga

    Kuanzia airport mbeya mpaka songwe njia imefunga Tunaotumia barabara hiyo tuwe wapole 13|12|2025 sababu ya foleni ni ajali ya lori hii hapa 👇
  12. Kiapo: Kuanzia leo nimeacha uzinzi

    Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
  13. W

    TMA: Kuanzia Desemba 11 mvua zitaanza kurejea Tabora

    Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
  14. A

    Aisee! Kuanzia sasa namtafutia wife msaidizi wa kazi, kumbe ana kazi kubwa namna hii?

    Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
  15. M

    Kuanzia makazini,Mitaani,Majumbani,wamemkataa huyu Mama

    Yaani ukiwa makazini bila kuangalia ni sekta binafsi au ya serikali,ukija mitaani awe mtu mzima kijana au mtoto,Majumbani mwetu kuanzia wake zetu watoto kina baba mpaka wafanyakazi wa ndano hawampendi huyu mama. Yaani sijawi kuona Rais aliyekataliwa kama huyu,
  16. Hivi mnajua watoto kuanzia 2020 wana IQ kubwa ambayo unaweza kusema ni wasomi

    Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari. Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda. Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
  17. T

    Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
  18. Msumari aliopigilia Padri Kitima, tusubiri wajinga wafunguliwe kuanzia kesho

    Uzuri hoja za Padri ziko sahihi na zimenyooka na niza moto kweli kweli. Ila kuanzia kesho tutarajie kuona wale walio lipwa na wahuni wa kijani kuja kumshambulia badala ya kujibu hoja. Wataanza uvccm,watakuja kobazccm wazee wakujitoa akili kama kuku aliyekatwa kichwa. Hii nchi ina viongozi...
  19. Kuanzia leo siku kuu yangu ni pale anapotangulia kiongozi wa hawa mbogamboga.

    Wakuu, kuanzia leo sichukulii Xmas, Eid, Pasaka kama siku kuu zangu za kujivinjari. Nimeona ni bora nijivinjari Kila anapofariki kiongozi wa hawa waliotuulia ndugu zetu. Yaani wakati watu wengine wanalia huku bendera Iko nusu mlingoti, Mimi naendelea kujipongeza huku nikijisemea "Good...
  20. Kwanini wenye 'Lower Second Class' kuanzia 3.0-3.5 GPA hubezwa, ila wenye 'Pass Grade' 2.0-2.9 GPA 'hawabezwi' wakati Wao ndiyo Wamefeli mno?

    Haya wenye Akili karibuni mtuchambulie ila ninachokijua na nilicho na uhakika nacho 100% ni kwamba 75% ya waliomaliza Vyuo Vikuu nchini Tanzania wana Lower Second Class GPA na wachache sana wana ama Upper Class au First Class kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…