kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imeifutia usajili Skuli ya Eden inayomilikiwa na Shirika la Afrika Agape Association kuanzia Januri 3 mwakani. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara kubaini mmiliki wa Skuli hiyo kuendesha Skuli kinyume na sheria, miongozo na kanuni za Wizara...
  2. DC Hashim Komba: waliouziwa ardhi kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021, rudisha Ardhi hiyo kwani ni batili

    Wananchi wilayani Nachingwea mkoani Lindi waliouziwa ardhi katika vijiji mbalimbali kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021 wametakiwa kurudisha Ardhi hiyo kwani mauziano hayo ni batili. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya hiyo Hashim Komba alipokuwa akizungumza katika mkutano maalumu wa...
  3. Watoto wafundishwe elimu ya pesa kuanzia awali

    HABARI
  4. Influence ya Spain kuanzia Ballon d'or hadi UEFA mnaiona?

    Ni mwaka wa ngapi sasa anaeshinda Balon d or anatokea la liga? Hata kama mwaka huu Messi katokea PSG lakini alipewa tuzo kwa performance yake ya la liga. Halafu lewandosky na Van Djik walikosaje? Sasa twende Jana draw ya Champions league mliona timu zote za Spain kasoro Madrid zilikuwa...
  5. Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

    #NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm
  6. Marudio ya Mitihani ya NTA Level 5 kufanyika kuanzia Desemba 13

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUVUJA KWA MITIHANI YA UTABIBU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ina jukumu la kusimamia na kutathmini sera na miongozo mbalimbali ikiwemo ya rasilimali watu katika Sekta ya Afya nchini. Wizara inatambua umuhimu...
  7. S

    Rais Samia yuko hivi na kuelewa hivi kuanzia leo

    Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe. Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au...
  8. S

    Kuanzia Januari 2022 ni mwendo mdundo -Tume huru ,mkiguna Tunaguruma na katiba Mpya

    Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama ni jipu linakaribia kupasuka. Na Mliopo madarakani msiingizwe mkenge na CCM,nikimaanisha CCM kama...
  9. Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D

    Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D. Kama kuna mtu anauza anitajie bei gani. 0716723263
  10. M

    Kuanzia leo Ismail Aden Rage namtunuku rasmi 'Honorary Doctorate Degree' kwa Kuzijua vyema Sheria za Soka za FIFA na CAS

    Ufuatao ni Mjumuisho wa Kauli yake Moja tu aliyoitoa kila alipokuwa akihojiwa kuhusu Maoni yake juu ya Rufaa ya Yanga SC dhidi ya Wakili Msomi Raia wa Ghana Bernard Morrison aliyewamwaga Utumbo leo kwa Kushinda.... "Nawashauri Yanga SC waachane na kutaka Kukata Rufaa huko CAS kwani wanapoteza...
  11. Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
  12. Azam tv kuonyesha Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kuanzia kesho

    Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo! ikumbukwe AzamTv huonyesha pia Bundesliga, NBC Premier League, FA Cup na Carabao cup. Mashabiki wengi wa soka...
  13. Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  14. T

    Kuanzia leo, sipandi Pantoni wala kulipia kwenye hilo daraja

    Haya sasa, watalipia hili daraja wenyewe ila usianguke tu.....
  15. Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe?

    Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe? Eti wakuu inawezekana kufanya hivyo?
  16. M

    Ukweli Kuhusu Deni la Taifa kwa awamu kuanzia ya Tatu.

    Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye. -Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD. -Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD -Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD _awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
  17. Wazoefu wa mambo ya kuchezesha games, mtaani naomba msaada

    Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
  18. M

    Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
  19. Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

    Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu. Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms. #PbOnSaturday
  20. N

    Naombeni Orodha ya vifaa vya umeme kuanzia biashara

    Wadau, Mafundi na wenye uzoefu wa biashara ya vifaa vya umeme wa majumbini naomba mnitajie orodha ya vifaa vinavyohitajika na vinavyotoka haraka kibiashara zaidi. Nimepata fremu ndogo ya biashara, kwa mazingira ya mtaa huo hakuna duka la vifaa vya umeme kwa maeneo ya karibu, hivyo nimeona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…