kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuanzia mwakani Simba itakuwa haina tofauti na Ihefu

    Wandugu, Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano? Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
  2. S

    Jipatie jiko la gesi la kulipia kidogo kidogo kama luku kuanzia sh 1000

    Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea. Unalipia...
  3. G

    Nanunua Vanilla kuanzia kilo 200 grade one, mzigo uwe DSM

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi. Iwe Dar es Salaam..... Call/Whatsapp: 0710535327
  4. N

    Pongezi kwa Serikali kwa kuanzia kutekeleza Ugawaji wa Vishikwambi kwa Walimu

    Mapema wiki hii inayoishia, nimefurahi sana kuona Serikali ikigawa bure kwa walimu wa VETA vishikwambi ( tablette) vilivyokuwa vinatumika ktika zoezi la Sensa la mwezi Agasti. Baada ya zoezi la Sensa kutamatika, Serikali hii tukufu ya Mama Samia iliahidi kugawa vishikwambi vilivyokuwa...
  5. Haya mtakaofuata kuanzia jana 'Tundu' liko wazi tu kwa ajili yenu

    Na Siku zote raha ya Tundu lililowazi ni kila mara tu kutupwe Mchele wa Mbarali ili Ndege wazuri wa Gerezani Mbeya waingie Kuula au Korosho za Namungo Lindi ziweze kupenyezwa humo ili ziive vizuri.
  6. G

    Kuanzia kesho sili papuchi bila kumpima UKIMWI na ujauzito

    Wakuu, Wanawake akili zao wanazijuwa wenyewe! Kupitia uzoefu niliyopata humu JF, nikaweza kubaini hujuma niliyotaka kufanyiwa na hivi vibinti vinavyo vaa viatu vyenye manyoya. Tulipanga miadi ya kula papuchi wiki mbili zilizopita, ila kwasababu anazozijuwa yeye hakutokea, nikabaki na ugumu...
  7. Picha ya kuanzia weekend

  8. Kuanzia tarehe 20/12 mtapata kuku wa nyama kwa bei poa kabisa

    Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄. Tupeane ka support hapo. Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
  9. Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

    Nilipata kusema humu kwamba kwa namna Samia asivyo na nia ya dhati kwa aliyokuwa akikubaliana na Mbowe litakuwa ni suala la wakati tu wawili hao kutofautiana tena. Baadhi yetu kwa siku za hivi karibuni tumekiona CHADEMA kama kimefifishwa kwa maneno matamu ya Samia na CCM yake lakini ukweli...
  10. Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

    MVUA ZITAANZA KUNYESHA KUANZIA TAREHE 18 MPAKA 26 MWEZI HUU INGAWAJE HAZITAKUWA NYINGI Anaandika, Robert Heriel, Mwanajiografia Hali ni Tete Kwa sehemu ya nchi kuwa na uhaba wa mvua. Hii ni kusema kuna janga la ukame kinaendelea. Kijiografia Mvua zilipaswa zianze mwezi mmoja baada ya jua...
  11. Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  12. Matokeo ya sensa 2022 yanaonesha kila mwaka Watanzania wanaongezeka watu 1,800,000 kuanzia mwaka 2012

    Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion. Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m 18,000,000/miaka 10 = 1,800,000 Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
  13. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forums. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba...
  14. K

    Soccer Academy kwa watoto kuanzia miaka 3 na kuendelea

    Habari wana Jamii Forum. Sisi ni Shining Sports Organization wamiliki wa Shining Sports Academy. Ni Academy ya michezo mbali mbali ila kwa sasa tumeanza na mchezo wa soka. Mazoezi yanafanyika viwanja vya Masaki Sports Park, Karume Road, Masaki. Tunafanya session za watoto kwa ratiba ifuatayo...
  15. Kuanzia sasa neno ni hili

  16. TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  17. Ni marufuku kuingia Qatar bila kibali maalumu kuanzia Novemba 1, 2022

    Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20. Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
  18. Soko la Kariakoo Kuanzia Upya Wake 1900s

    SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900 Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne. Nikiangalia picha ya mwanzo ya Kariakoo akili yangu inanipeleka katika nyumba ambazo nyingine mimi zinanihusu na nyingine...
  19. Movie 10 kali za kuziangalia kuanzia Oktoba 2022

    Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa; 1. All That Breathes 2. Emily 3. Wendell & Wild 4. Black Adam 5. The Banshees of Inisherin 6. My Policeman 7. Decision to Leave 8. Triangle of Sadness 9. The Lost King 10. Ticket to Paradise
  20. Una hali ngumu ya kipesa? Nakupa hii mbinu bure kabisa, kuanzia sasa usilale njaa tena

    Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana. Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi? Turudi kwenye mada. Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…