Wanajamvi,
Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali.
Na huenda hutaki kuachwa nyuma.
Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo:
Ana biashara ya guest house kule dar. Eneo fulani hiv ndani ndani. Sio nyumba moja, zipo kadhaa ndani...