kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  2. Iganzo sekondari: Mtoto alazimishwa kuandika barua ya kuacha shule, mzazi atolewa nje

    Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
  3. M

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako. Claude imetangaza maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika au kuboresha

    AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
  4. Kuacha kazi pasipokutoa notice

    Habari Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri. Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo...
  5. Balozi Ahmed Haggag: Bara la Afrika linahitaji kuacha utegemezi wa nje na kujiamini

    CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe. Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
  6. Baada ya kuacha red meat kwa miezi 6, nimejikuta nimekuwa mtu mwenye utu na huruma zaidi

    Linaweza likawa jambo la kushangaza kwa wengine, ila kwangu ndo uhalisia huo. Niliamua kuacha kula red meat kwa muda kutokana na allergy fulani, lakini baada ya miezi kadhaa nimeanza kugundua mabadiliko ambayo sikuyatarajia. Sio kwamba naweza kusema moja kwa moja nyama nyekundu ndiyo ilikuwa...
  7. Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

    Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
  8. M

    Addiction ipi ina arosto kali ukiikosa hata kwa siku moja kiu yake ni ngumu kuikabili?

    Kucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k. Pombe Sex Punyeto Sigara Bangi Ugoro Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu...
  9. M

    Nini kilimsibu Idugunde na kuacha kuishabikia CCM kama enzi zile?

    Huyu jamaa alikuwa shabiki mkubwa wa CCM na alikuwa akiwatetea sana hapa jukwaaani Nini kilimsibu huyu jamaa maana mpaka sasa amegeuka kuwa shabiki kindakindaki wa Chadema na Lissu.
  10. Kwa Tabia hizi za kuacha kazi nina matatizo au?

    Baada ya kumaliza chuo tu. 01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar. Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno nje kifupi kazi ya kunyenyekea mtu siwezi hasa hawa wazungu wa hotelini(nikaacha kazi)miezi miwili...
  11. Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  12. M

    Uzi kwa ajili ya waraibu wa kamari, mikeka na kubeti wanaohitaji kuacha na kuepukana na uraibu huu

    Habari ndugu! Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu. Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza watanzania na binaadamu kwa ujumla hapa duniani. Ushawishi wa kuingiza watu katika huu uraibu ni...
  13. Nchi iliyotenda maovu mengi inapotubu kwa Mungu na kuacha maovu yake, Mungu anaghairi kuipiga fimbo na kuisamehe

    "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao." (2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana). MJI WA NINAWI Ninawi, mji wenye watu...
  14. K

    Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  15. Messi aendelee kupewa Ballon d'Or mpaka pale atakapoamua kuacha kucheza soka ni aibu kumpa mtu kama Dembele ile tuzo

    Mimi sina mengi sana kwa namna ya uchezaji wake ni dhahiri kwamba hakuna mtu yeyote kwa soka la sasa kumlinganisha naye. The real GOAT
  16. Laana ikoje wadau?Je ni kweli inaweza kuachwa na mtu? Sifa zipi zinamfanya mtu aweze kuacha laana?

    Mzee? Maskini? Kwa kosa lipi hasa? Je tajiri naye huacha laana?
  17. Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

    Habari wana jamvi Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu. Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana? Sakwe bin sakwe Binadamu mashaka
  18. F

    Trump atangaza makubaliano ya kuacha vita na Iran, je utakuwa utapeli kama ule wa Gaza?

    Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran. Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake? Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC? Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
  19. Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
  20. Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…