kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abiria wa Precision Air, Walazimishwa kuacha mizigo Mwanza kwamba ndege imejaa

    Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
  2. Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  3. L

    Marekani yapaswa kuacha wasiwasi wa kupita kiasi kuhusu China

    Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha kwa makombora tarehe 4 mwezi huu, baadhi ya wanasiasa wa Marekani wametumia fursa hiyo kuchochea wazo...
  4. Hotuba za Waitara Bungeni zinafanana na mtu anayeaga Bunge, ila anataka kuacha legacy tu

    Hotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita. Hana koti la uwaziri, hana mkono wa chuma ambao ulikuwa...
  5. Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

    Ninapozungumzia kamari siyo hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, Trukey, Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk, hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu. Kuna movie zinaitwa 👉God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na...
  6. TP Mazembe ya Katumbi niijuayo Mimi haiwezi kuacha Mchezaji mzuri na ikimuacha jua huyo ni 'Kapi' na hafai Kwingineko

    Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu...
  7. CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  8. Azimia kuacha kuangalia video/picha za ngono 2023

    Watu Wana malengo mengi Sana kila mwaka mpya ukianza na mengine ni Makubwa mno hata hayatekelezeki hata katika ndoto kwasababu hakuna ajuaye kesho yake, ingawa hii haitufanyi tusiache kuweka malengo. Ndugu zangu ili tufanikiwe basi tunahitaji Sana msaada wa Mwenyezi Mungu, kwani si akili zetu...
  9. Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  10. Mwenye mbinu za kuacha mke anisaidie

    Wadau uzi huu nauleta kwenu.. Nataka niachane nae huyu mwanamke nilonae nilitoa posa tu ya elf 50, mahari sijatoa bado alikuja kwangu mwaka 2020 akang'ang'ania magetoni. Akakaa miezi miwili watu wakanitsha ikabidi nimtolee posa il kwao wajue niko naye. Sasa tumebahatika kupata mtoto mmoja ila...
  11. Rafu aliyochezewa leo Inonga iwe ni funzo kwake kuacha sifa za kijinga, ushamba na utoto

    GENTAMYCINE (Shabiki Tukuka wa Simba SC) nilishawahi kuandika Mada (Thread) hapa hapa JamiiForums ya Kuwaonya akina Inonga na Sakho juu ya Uchezaji Wao wa anao anao mwingi na kutafuta Sifa kwa Majukwaa huku Nikionya kuwa ipo Siku yatawakuta makubwa. Sikueleweka na baadhi ila nina baada ya...
  12. L

    Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  13. B

    Ni Wakati wa Serikali kuacha Ubaguzi wa Sisi Wakazi wa Oysterbay. Nimekasirishwa sana na hili jambo

    Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua) Juzi wakati Mlinzi wangu...
  14. Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

    Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na...
  15. K

    Je, ni wakati wa Makamu wa Rais Mpango kuacha unyonge na kusimamia mikopo ya nchi?

    VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku. Hauja chaguliwa kwasababu ya upole pekee lakini ni kwasababu ya uwezo wako mkubwa kwenye miradi na kujua fedha sasa hata kwenye miradi na mikutano...
  16. Hatua za kufuata ili kuacha kuvuta Sigara

    HATUA ZA KUACHA KUVUTA SIGARA Madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji sigara ni makubwa na yanahatarisha si tu uhai wa mvutaji bali hata na watu wengine wanaovuta moshi kutoka kwa mvutaji. Kwa upande mwingine, hakuna faida yoyote anayopata mvutaji, hivyo wavutaji wa sigara wanashauriwa waache...
  17. Je, Rwanda kweli inawasaidia M23? Ubelgiji yaitaka Rwanda kuacha kuwaunga mkono waasi hao

    Ubelgiji imeitolea wito nchi ya Rwanda "kusitisha msaada wowote" kwa waasi wa M23 wanaoendelea na mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kubaini kuwa kundi hilo liliwaua raia 131 mwezi uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Ubelgiji ilisema jana...
  18. Kosa kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kupambana na adui bandia na kuacha maadui halisi. Wenye ndoto za kuwa Rais mjifunze

    Kwema Wakuu! Ndio nimeamka sasa hivi Hapa, nikaota na kuambiwa kuwa JPM alipambana na maadui Bandia huku akiwaacha Maadui halisi wakipeta. Ndoto hiyo ambayo nina uhakika nayo Kwa Asilimia Mia moja inanipa tafsiri kuwa JPM alishindwa kutambua maadui wake halisi na Hilo kwenye uwanja wa vita ni...
  19. Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

    Hatimaye sasa its official kuwa Kagame analisaidia kundi la waasi wa M23 wanaopigana na serikali Mashariki mwa Congo DRC. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Blinken, amekutana na P. Kagame na kumpasulia wazi kuwa aache kuisaidia M23 , kikundi kinachoua na kutesa wananchi wa kawaida huko...
  20. DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

    Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta? The entire leadership of Temeke and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…