kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana watakiwa kuacha tabia ya kuwakimbia wagonjwa wao wanaowapeleka Hospitali ya Mwananyamala

    Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali, leo Oktoba 14, 2023 ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999. Msafara huo ulioongozwa na Sheikh Ally...
  2. M

    Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  3. Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

    nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho...
  4. Jamani mwenzenu siwezi kuacha kabisa.

    Nikianza kusema hivyo kuna watu watafikiria kuna kitu nafanya halafu siwezi kuacha kukifanya.Sio hivyo mimi siwezi kuacha kwa maana ya kuacha hasa. Mimi kwa sasa nimebaki na wake watatu baada ya mmoja kutangulia mbele ya safari..Hawa wake zangu si malaika kama nilivyo mimi,huwa kuna siku...
  5. D

    Naomba Ushauri: Nataka kuacha kubeti

    Habari za muda, Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza. Japo nilishawahi kushinda...
  6. Betting: Niliamua kuacha kubeti baada ya kutumia zaidi ya Tsh. 450,000/- na kuambulia patupu pamoja na kutapeliwa Tsh. 100,000/-. Kuna funzo kubwa

    Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa! Akaanza...
  7. B

    Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
  8. S

    TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

    TCRA acheni kutumika vibaya. Mmeufungia wimbo wa Ney Wamitego "Amkeni" kwasababu tu umemparura aliyewateua lkn mmeacha nyimbo kibao za matusi zkiendelee kwenda hewani. .....sijui kutongoza.... .....ikiiingia inateleza.. ....paka mate niteleze.. .....nampatia sukari ananambia ongeza.. n.k, n.k...
  9. Madereva wa magari ya abiria kushuka na kuacha gari kwenye foleni kuna hatarisha usalama wa abiria

    Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee. Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
  10. Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Katika maisha kila mtu ana amini katika kile anachokiamini kuanzia kwenye maisha binafsi, dini, uchumi, siasa n.k. Kuna watu wanaamini biashara bila ndumba haiendi, kuna wanao amini mapenzi bila pesa lazima mwanamke Aku cheat n.k. Mimi kwa upande wangu nilikuwa naamini kutumia miti shamba...
  11. Kuvaa nguo ya mabega wazi huwa ina lengo gani?

    Habari za wikiendi? Naomba kuuliza wadada/wanawake wote hasa wa Tz imezuka tabia mbaya sana ya kuacha mabega wazi kwa magauni/blauzi zao? Lengo ni kitu gani waonekane wana Chuchu saa 6 zisizotaka Brazia au wanakuwa wanapepo la umalaya au shida ni kitu gani? Wengine bila aibu wanavaa hadi...
  12. CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

    Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi...
  13. J

    DC Jokate awataka wafanyabiashara wanaoficha mafuta kuacha mara moja

    DC JOKATE AWATAKA WAFANYABIASHARA WANAOFICHA MAFUTA KUACHA MARA MOJA - KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara wanaoficha mafuta Wilayani Korogwe wakisubiria mabadiliko ya bei ili wauze kwa bei kubwa kuacha mara moja kwakuwa wanahujumu uchumi na...
  14. Epuka gharama kwa kuacha kununua vitu visivyo vya lazima, tumia mbinu hizi

    Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama simu,vifaa vya usafiri,nguo na vitu vingine ambavyo ni luxurious huwa vinahusishwa. Mimi Kwa utafiti...
  15. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  16. Mbunge wa Rorya awaasa Maafisa Uvuvi kuacha kuchukua mitumbwi ya wavuvi

    "Mheshimiwa Rais kwenye bajeti ya mwaka 2023-2024 amesema, Mfanyabiashara yeyote anayedaiwa kodi kwamba hajalipa TRA ni marufuku kumfungia biashara yake. Hii itumike kwa Wavuvi, Mvuvi ambaye hajalipa Shilingi 5,000 anahangaika kuvua apate Shilingi 5,000 akulipe hatuoni sababu ya kukamata chombo...
  17. Kafanikiwa kuacha Pombe,Bange,Sigara toka mwaka 1999

    Ni ndugu yangu. Nilihangaika nae mpaka watu wakanishangaa,lakini haya niliyafanya ili wazee{wazazi}wasilemewe na mzigo. Dogo huyu kwa sasa ni mtu mzima mwenye maisha yake ,alianza kidogo kidogo kunywa mbege wakati wa krismasi huko Moshi,akiwa darasa la tatu. kabla ya kumaliza darasa la saba...
  18. Kwetu ni bora uvunje glass cup kuliko kuacha kwenda Kanisani. Kuna mwanamke mwenye sifa hii?

    Wakubwa shikamoni na wadogo wote hamjambo.. Niseme jambo langu, nimeanza na kujieleza kuwa nimekulia familia ya ibada - Mkristo. Kitu cha kwanza nilichogundua katika maarifa na hekima niliyopata kupitia imani yangu ni kwamba maisha ya binadamu au kila jambo linalotokea kwa binadamu huanzia...
  19. Wanawake washauriwa kuacha roho mbaya na husda

    Na mimi nakazia, wanawake acheni roho mbaya
  20. Dawa ya kuacha sigara

    #FAHAMU Ibrahim Yücel raia wa Uturuki aliamua kuvaa kofia maalumu kwa ajili ya kujizuia na uvutaji wa sigara baada ya kushindwa kuacha uvutaji. Kofia hiyo alifunga kwa funguo maalumu na kumkabidhi mtu mmoja ambaye alikuwa akimfungulia muda wa kula chakula tu. Mwanaume huyo alisema kuwa alianza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…