kodi

  1. Kwanini Watu Hawapendi Kulipa Kodi Ya Mapato!?

    Habari zenu Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa kulipa kodi ya mapato ni wajibu wa kila anaestahili na si kwa watu wachache tu kama wafanyabiashara...
  2. Watumishi 22 TRA kuchunguzwa, madai kubambikia watu kodi yatajwa

    Waziri wa Fedha, usiwatoe kafara watendaji wako. Wewe ndiye chanzo cha mayowe ya kodi kandamizi kwa wafanyabiashara Ndugu zangu wanabodi, huwa napenda sana kuishi kwa kujifunza kutoka kwenye hotuba za viongozi na kupitia hotuba hizo huwa nanyakuwa baadhi ya mambo ambayo kwangu ninayoyaona...
  3. Nchi maskin haziwez endelea kwa kutegemea Kodi, Bali kwa kutumia rasilimali vizuri

    Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika Nchi za Afrika zina-rasilimali nyingi lakin ni maskin sababu moja wapo ni usimamiz mbovu wa rasilimali na...
  4. Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  5. TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

    Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Edwin Mhede amepokea orodha ya huduma za malazi iliyoboreshwa 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ili kuiwezesha TRA kukusanya tozo ya Kitanda Siku kutoka kwa Watalii wanaotumia huduma za malazi. Hii ni katika harakati za...
  6. Januari 1, Kenya yatangaza kurudisha kodi kama ilivyokuwa kabla ya corona

    Waziri wa Fedha wa #Kenya, Ukur Yatani ametangaza kurudisha kodi mbalimbali ambazo zilipunguzwa au kuondolewa ili kutoa unafuu kwa wananchi baada ya nchi hiyo kupigwa na janga la #COVID19 Watu wanaopata chini ya Ksh 24,000 sawa na takriban Tsh. 495,700 hawatalipa kodi ya mapato (PAYE). Kodi ya...
  7. Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

    Wadau salama hapa ndani? Niliwahi kusoma uzi hapa JF kwamba kuna raia wanaosaidia kutoa gari bandarini hata kama huna pesa ya kulipia TRA mnaingia makubaliano ya kulipia kidogo kidogo baada ya yeye kulipa. Hii imekaaje? Hakuna utapeli ndani yake? Nina mpunga kidogo hapa ambao unatosha tu...
  8. J

    Fahamu maana, umuhimu wa kodi na taratibu za ulipaji

    Kodi ni malipo yanayotozwa na Serikali kwa wananchi, kampuni, au taasisi zilizopo ndani ya nchi au zilizopo nje ya nchi lakini zimesajiliwa ndani ya nchi. Lengo kubwa la kutoza kodi ni kuitengenezea mapato serikali iliyopo kwa ajili ya kufikia malengo yake katika kutoa huduma za Jamii na maslahi...
  9. B

    Kodi ya ardhi hulipiwa Halmashauri au Wizara ya Ardhi?

    Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
  10. D

    Hotuba ya Rais imeonyesha njia; Tozo na kodi kwa mahoteli na lodge zipunguzwe

    Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea mazingira mazuri hivyo nashauri mambo yafuatayo: 1. Kupunguza bei ya leseni ya TALA kwa mahoteli kama...
  11. B

    Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  12. S

    Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

    Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM. Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
  13. Ushauri juu ya kozi ya Kodi (Taxation)

    Habari wadau, Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi? Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
  14. T

    GE2020 Hebu tufanye kashinda Lissu, nini hatma ya haya mapesa ya walipa Kodi?

    Kama tujuavyo serikali ya awamu ya tano chini ya rais Magufuli imeibua miradi mingi mikubwa ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji, hii ikimaanisha kwamba tayari hii miradi imeshatumia pesa nyingi sana za walipa Kodi ambapo mgombea huyu anatoa ahadi kwamba tukimchagua tena...
  15. Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
  16. J

    GE2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA. Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa. Chanzo: ITV habari. My...
  17. Pendekezo: Majimbo watakayoshinda upinzani kodi zao zibaki jimboni mwao

    Napendekeza, endapo atashinda JPM basi yale majimbo yatakayokuwa yameangukia upinzani kodi zao wabaki nazo ili wapange mipango yao ya maendeleo. Nadhani hili halitakuwa na ubishi kwa sababu JPM ametamka waziwazi kwamba hatapelekea maendeleo kwenye majimbo watakayochagua wabunge wa vyama vingine...
  18. je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

    Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe) Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
  19. T

    Endapo Magufuli atashinda, asitoze kodi Majimbo yatakayonyakuliwa na Upinzani

    Kila anapopita, Magufuli anawatisha Wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi. Endapo ngekewa itakuwa kwake akafanikiwa kushinda, Majimbo yote yatakayoongozwa na upinzani 'tunamtaka' asikusanye kodi huko, awaachie...
  20. Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…