kodi

  1. Natafuta chumba cha kupanga cha 50,000/= nina kodi ya miezi 6

    Ndugu wa Tegeta Ndugu wa Mbezi Beach Ngugu zetu wa goba mupoo Chumba cha 50,000/= 6 months nalipa Wapangaji wasizidi wa 3 Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo Gypsum Tiles muhimu Ikiwa master ni vizuri zaidii... Msaada jamani
  2. Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  3. Uhusiano kati ya kodi na shughuli za Maendeleo

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali. "Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) " Ukitaka...
  4. B

    Ni yapi maoni ya wabunge wa CCM kuhusu hoja ya makusanyo ya Kodi iliyotolewa na Mhe. Rais?

    Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
  5. Kumuonya Waziri wa Fedha kutokutumia nguvu kutokukusanya kodi pasipo kubadili Sheria za Kodi haitawezekana

    Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri. Ni wazi kwamba kwa namna TRA ilivyozoea/kuzoeshwa kukomesha wafanyabiashara ni ngumu sana kuondoa misuguano kati ya...
  6. Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

    Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
  7. Wakenya: Serikali ondoeni lockdown tuna kodi za kulipa, njaa ni janga pia

    Wakenya washinikiza kuondolewa kwa masharti ya kuzuia corona Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanya maandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona. Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano...
  8. MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Baada ya kusikia watu wengi 'wakiumizwa' na 'kupigwa' wakiwa kwenye harakati za kutafuta usafiri uliotumika nchini, nimeona sio mbaya nikitoa ushauri ni jinsi gani unaweza kuepuka majanga kwenye zoezi hilo. Naandika kama mnunuzi au muuzaji wa aina hio ya magari, kwahio siegemei upande wowote na...
  9. Serikali bila kufungua viosk vya kukatia tiketi hili la electronic ticket hamtoweza, wajanja wa mabasi ndio tegemeo lao kukwepa kodi

    Wana JF, Baada ya Serikali kutoa tamko la kukata ticket kieletroniki sasa wafanyabiashara wa Mabus kwa kushirikiana na brokers au madalalie wa ticket. Kibaya zaidi hupewi ticket baada ya kutoa fedha. Leo nimejifunza kitu gari no. T 195DAV KVC Safari karibu abaria wote hawana ticket. Jambo...
  10. Kodi kubwa kwenye magari kwa kigezo cha kulinda mazingira haijaleta ufanisi wowote

    Wakati serekali ikikazana kuongeza kodi kwenye magari mtumba(used) kwa kigezo za kulinda mazingira imeonyesha kutokua na ufanisi wowote. Kodi imeongezwa ili wananchi waache kununua magari yaliyotengenezwa miaka mingi na kununua ya miaka ya karibuni ili kulinda maizingira. Je, idadi ya magari...
  11. Taifa lisilokusanya kodi haliwezi kujiendesha. Awamu hii ya tano inajinasibu kukusanya tri 2. Je, Watanzania wananufaika?

    Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina. Je, haya mapato yanawanufaisha watanzania? Kwamba miundo mbinu, elimu afya na sekta muhimu zimekuwa stable? Leo hii Mtanzania...
  12. A

    Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

    Ile dhana ya kwamba makampuni mengi ya kibiashara kufunga biashara zake na kupunguza wafanyakazi limenikuta mbashara sasa. Ni baada ya kampuni moja ninayofanyia kazi kuanza kupunguza wafanyakazi na kufunga baadhi ya vituo vya kibiashara kutokana na kodi kua kubwa huku mauzo yakipungua kila...
  13. J

    Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  14. Kodi ya VAT

    Wakuu, Kwa wale wataalamu wa masuala ya kodi naomba kuelimishwa je ni mfanyabiashara wa aina gani anapaswa kulipa VAT tra? Mfano: mfanya biashara anaesupply chakula shuleni kwa mtaji wa milioni 2 na risit anatoa za efd na Hana kampuni amesajili business name tu halmashauri, je baada ya...
  15. Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuanzia tarehe 15 hadi 28 Februari wataendesha kampeni ya kuorodhesha majengo yote nchini ili wamiliki wake waweze kulipa kodi. Jafo amebainisha hayo jana mkoani Morogoro kwenye uzinduzi wa...
  16. J

    Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

    Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria. Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa...
  17. Tusaidie Serikali kubuni na kutoa mapendekezo mapya ya Kodi ili kuimarisha mpango wa kujitegemea

    Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania. Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha. Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee. Ni Jambo...
  18. K

    Ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara

    Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22. Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
  19. Serikali imekanusha madai ya uwapo wa kodi kandamizi kwa wafanyabiashara bali imetengeneza kodi rafiki

    Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi. Ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyayo (Chadema) ambaye amehoji upi mkakati wa...
  20. Mapendekezo yangu kuhusu Kikotoo cha Kodi bandarini

    Napendekeza Mamlaka ya Mapato waweke kikokotoo rahisi kwa walipa kodi kukielewa. Mfano: Kuingiza gari (waweke categories kama tano tu hivi na bei yake ambayo itajumuisha kodi zote za serikali. Labda kibaki malipo ya clearance agent peke yake na hata ikibidi na yeye ajumlishwe Mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…