kodi

  1. Dkt. Mwigulu: Tunapendekeza kuanzisha chombo cha usuluhishi wa masuala ya kikodi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watapendekeza kuanzisha chjombo cha msuluhishi wa masuala ya kikodi ili kuepuka kero zilizopo. Mwigulu amesema hali ilivyo kwa sasa mtu akifanyiwa makadirio ya kodi na asipokubaliana nayo, analazimika kumfuata huyohuoyo aliyemkadiria...
  2. M

    Simba na yanga walipishwe kodi

    Kwa Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango.Kwa kuwa vilabu hivi viwili yaani Simba na Yanga (Young Africans) ni vilabu vikubwa vya mpira wa miguu tena vina wapenzi kwa mamilioni nazo zitozwe kodi kama biashara zingine zozote. Mpira ni biashara ndio maana wanaoingia kuwatazama wanalipa viingilio...
  3. Wahariri wahoji ongezeko la kodi kugharamia miradi isiyo na tija

    Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti ya Serikali. Wakizungumza leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika mjadala wa uchambuzi wa bajeti ya...
  4. S

    Napendekeza tukatwe kodi ya Tsh 50/= kwa kila kilo ya mchele na unga wa mahindi/ngano badala ya laini za simu

    Tukifanya hivi tutakuwa tumepanua wigo wa makusanyo ya Kodi kwa maana ya idadi ya walipa kodi wangeongezeka. Tutapata hela nyingi, na karibia kila mtanzania atashiriki ktk ulipaji wa Kodi na ujenzi wa taifa kwa ujumla. Tutachangia hela kidogo sana (Tsh 50/= per kilo) lkn fedha itakuwa nyingi...
  5. Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  6. S

    Mwigulu Nchemba, Mnalofanya Serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za kodi na mnadhani Watanzania hawaelewi

    Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
  7. Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  8. Mwigulu: Kodi Mpya kwenye mafuta mwarobaini wa tatizo la barabara Vijijini

    "Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta" Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
  9. P

    Rais Samia hapendi kodi na mali za dhuluma; vipi kuhusu viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Moja kwa moja kwenye mada. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama yetu mama Samia Suluhu Hasani amjipambanua na kweli ukimuangali usoni unaona kabisa kuwa mama hapendi mambo ya dhulma ikiwemo kodi. Hoja yangu ni juu ya mali ilizojimilikisha...
  10. Rais, Majaji na wote wasiokatwa kodi kwenye mishahara yao ni muda muafaka nao waanze kulipa kodi

    Kama kulipa kodi ni uzalendo, basi rais wa nchi ndiye anayepaswa kuwa mzalendo namba moja. Kama Tanzania ni nchi ya Usawa, basi haiyumkiniki wawepo watu katika nchi hii wawe ni wavuja jasho, wanaokamuliwa kodi kwenye mishahara yao lakini kuna jingine la watanzania haohao mfano rais na Majaji...
  11. Anne Kilango Malecela: Kuna mkanganyiko kwenye suala la kodi ya majengo. Ieleweke anayelipa ni nani

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!" Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
  12. Serikali, punguza kodi ya Sukari sio Pombe

    Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari. Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari. Ndio maana sukari ikiadimika nchi inatikisika. Lakini ajabu tunapunguza kodi kwenye Pombe. Yaani Watanzania...
  13. Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

    Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
  14. S

    Bajeti 2021/22: Kodi ya uzalendo ni kaa la moto. Kila laini ya simu itakatwa Sh. 100 kila siku

    Mapendekezo ya bajeti ya 2021/2022 ni kwamba moja ya vyanzo vya fedha iwe ni kodi ya laini za simu. Kila laini ya simu kwa mujibu wa mapendekezo yaliyosomwa na waziri wa fedha itakatwa kati ya Tshs 10/= mpk Tshs 100/= kwa kila siku. Bila kusahau VAT na makato mengine yaliyokuwepo yataendelea...
  15. Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  16. Kodi ni lazima ikusanywe, hakuna nchi yenye nafuu ya Kodi

    Nimeona wengi wakipiga miluzi kuhusu Kodi zilizoongezwa hasa kwenye Luku, miamala ya simu, kadi za simu na kwenye mafuta (petrol na diesel). Ilikuwa bado kidogo tu na Mimi niingie mtego wa makamanda kwenye kulalamika. Kwanza kwanza kabisa yapaswa ieleweke kuwa hakuna nchi duniani inaweza...
  17. Bajeti 2021/22: Wadau tunakataa kodi ya Majengo kulipwa kwa LUKU

    Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri. Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye...
  18. Tax and financial consultation services

    Habari zenu wakuu, Mimi ni binti ambaye nilikua nimeajiriwa kama mhasibu kwa takribani miaka mitano. Nimejifunza mengi katika nafasi hiyo ya uhasibu kwa sababu kampuni niliyokua naifanyia kazi ilikua ni consultation company hivyo tulikua tunafanya kazi za kampuni tofauti tofauti hivyo nikapata...
  19. L

    Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
  20. Kodi kwenye Vocha na Miamala inaumiza Wananchi, ingeongezwa kwenye vinywaji

    Nawasalimu kwa salamu ya mama. Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza. Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk? Hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…