kodi

  1. Ishauri Serikali Namna ya Kukusanya Kodi kwa Wasiolipa Kodi!

    TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine. Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza malaki na milioni kwa siku lakini hata leseni ya Biashara hawakati:- Wauza viatu , urembo na nguo...
  2. M

    Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  3. U

    David Kafulila: Tanzania ili kufikia Uchumi wa USD Trillion Moja lazima tufikie uwekeezaji wa USD Trillion 3.7 hili haliwezekani kwa Kodi na Mikopo

    === Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Kafulila, amesema kuwa wakati wa kupitisha sheria za ubia, Tanzania iliruhusu kutatua migogoro kwa mamlaka za ndani. Hata hivyo, pale ambapo suluhu haikupatikana, ama kwa upande wa mwekezaji au taasisi ya umma, kulihitajika haki ya...
  4. Mamlaka ya Mapato ya Kenya inadai KSh18 milioni kama kodi kutoka kwa Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon

    Kutoka kwenye KSh48 milioni alizoshinda Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon, Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA) inadaiwa kutaka hadi KSh18 milioni kama kodi.
  5. Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

    Wakuu, akili imezima Wapangaji hawalipi na niko mbali
  6. PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  7. Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  8. A

    KERO Siridhishwi na Watumishi wa Umma tunavyokatwa kodi ya Nyumba ya Serikali kupitia TANESCO

    Kutokea Kibondo, naomba ufafanuzi kwenye shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Je! Ni kwanini sisi Watumishi wa Serikali tunaoishi nyumba za Serikali, vijijini tumeunganishiwa kwenye system ya Kulipa kodi ya nyumba ilihali kuna makato kwenye mishahara yetu na bado hayo makato ya REA, VAT na EWURA...
  9. B

    Kuna umuhimu gani wa Ma-RC kuweka kambi Dodoma kufuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu kwa zaidi ya Mwezi sasa?

    Nipo hapa Dodoma, Wakuu takribani wote wa Mikoa tupo nao mitaani tunakutana Bungeni tu, nilipowauliza wanafanya nini wametujulisha kuwa walikuja hapa zaidi ya wiki tatu zilizopita kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu. Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida wakati wa Hotuba ya Waziri...
  10. Eric Shigongo: Tujenge Uchumi wa kujitegemea kwa kuongeza walipa kodi

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani. Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya kodi kwenye pato la Taifa bado ni mdogo, jambo linalohitaji Serikali kuweka mazingira rafiki...
  11. A

    KERO TRA wameongeza kitu kwenye makato yao ya kodi ya pango?

    Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao? Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa. Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa mwaka huu wanasema nilipie Asilimia 10 ya hiyo kodi ya pango ambayo ni 7,200 yaani nalipia 72,000...
  12. Zambia yasitisha Kodi (VAT na Excise Duty) kwenye Mafuta kupunguza makali ya maisha

    Habari za wakati huu Wana-JF, Kufuatia mabadiliko ya bei za nishati duniani, Serikali ya Zambia imechukua hatua za dharura kunusuru uchumi wake. Kuanzia tarehe 1 Aprili, 2026, serikali hiyo imesitisha ushuru wa bidhaa (Excise Duty) na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa...
  13. Namibia yapunguza kodi ya mafuta kwa 50%

    Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya...
  14. N

    Bei mpya za mafuta ni janga, Serikali punguzeni kodi za mafuta Wananchi wapumue

    Dar es salaam sasa mafuta ni 3820 kwa lita na mikoa mingine imefika mpaka 4060 kwa lita ya Petroli. Tunakubali kuwa vita zimechangia mfumuko huu wa bei lakini serkali ina kodi na tozo nyingi mno kwenye mafuta, kwa nini iangushe mzigo wote kwa mlaji huku yenyewe ikiendelea kupata makusanyo. Na...
  15. M

    kodi isiwe sababu ya kufunga biashara Yako.

    habari ikiwa wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo na unakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara yako kiasi kwamba biashara Yako inaweza kufungwa basi karibu ukope kwetu, kama una changamoto ya kudaiwa Kodi ya pango, Kodi Toka TRA, bill za maji umeme na mishahara ya wafanyakazi...
  16. Timu ya TRA inanuka Simba, haifai kuhamasisha ulipaji kodi

    Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na pia mashabiki wa Simba na Yanga. Hii inamaanisha kuwa kwenye jambo la kitaifa usiingize jinsia...
  17. Hizi Tume Magufuli alizikataa ni kuchezea Kodi za Watanzania sio kila Jambo linaitaji Tume

    Huyu mzee JPM r.i.p alikataa hizi tume aliona ni kutumia vibaya kodi za wananchi maskini leo hii kila jambo linaitaji tume then what next ni upotezaji wa kodi za walala hoi hizo tume zinatumia pesa nyingi bila tija
  18. Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  19. Balozi Sefue: Maafisa wa kodi wasionane uso kwa uso na mlipa kodi, ikiwa kuna umihimu yatengwe maeneo yenye uwazi na CCTV camera

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  20. Elimu ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wafanyabiashara

    ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC ~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…