kodi

  1. SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
  2. Ujumbe ulio tolewa na serikali kwenye kodi mpya ya miamala

    “Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza sebureni na vyumba vipo wazi, utaonekana mwenye busara asubuhi ukiaga vizuri na ukarudi kwako. Sababu...
  3. Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Kama zingetumika vizuri hakuna mtanzania angelalamika.

    Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika. Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
  4. SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
  5. Kodi ya Miamala na Umuhimu wa Uraia Pacha

    Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
  6. T

    Ujio wa pesa za kwenye simu uliambatana na habari ya "financial inclusion"

    Falsafa haswa ya kodi ni kwamba mwenye pato achangie gharama za uendeshaji wa serikali. Asiye na pato hatakiwi kuchangia. Kwa hiyo kodi sahihi haswa ni ile inayotozwa kwenye kipato. Mfano PAYE kwenye pato la mshahara. Kodi ya mapato - kwenye pato la biashara. VAT kwenye mauzo ya bidhaa na...
  7. Mpaka hamu imekata baada ya kuona kodi mpya ya makato kwenye miamala ya fedha

    Wakuu leo asubuhi nilikuwa na hamu na zaga sasa nikamcheki mtoto akasema jioni jioni atakuja. Si ndio kuja kuingia JF kukutana na mastori ya town eti Kodi ya uzalendo aisee roho ikapasuka nahisi nimepata pressure ya kushuka lengo lao sio zuri hakuna Tena matumaini. Biashara zitazidi kuyumba...
  8. Kodi ya Uzalendo: Tuna mengi ya kujadili kama taifa

    Leo tarehe 15 Julai 2021, Selikari isiyopenda kukusanya kodi ya dhulma kupitia wizara yake ya fedha imeanza rasmi kutekeleza makato ya kodi ya kizalendo inayokatwa moja kwa moja katika miamala ya kifedha ya mitandao ya simu. Sina tatizo na kodi hiyo ila tuna mengi ya kujadili kuhusiana na...
  9. Rais Omary al Bashir wa Sudan alipinduliwa kwa ongezeko la bei ya mkate, Watanzania tunachekelea Serikali kuongeza kodi lukuki

    Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga! Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
  10. Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo. Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
  11. Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

    Haya yote yanayoendelea nadhani tunayaona na hii itoshe kusema CCM hawana nia tena na kuongoza nchi. Mmeongeza Kodi sawa, ndio iwe mara mbili? Ongezeko la 100% tena kwa kipindi hiki? HAPANA Mama hii ni Kodi ya dhulma, haikubaliki. Watanzania wengi wamejiajiri kwenye kilimo lakini napo umeamua...
  12. Kodi mpya za miamala nadhani kuna mchezo tunachezewa

    Mapema wiki hii kodi mpya za miamala zimetoka ambapo baadhi ya wananchi tunalalamika zinatunyonya lakin pengine nahisi kuna mchezo tunachezewa. Ukiangalia muda ambao suala limepitishwa ni kipindi ambacho vyama vya upinzani vinadai Katiba Mpya ambapo Rais akasema wamuache kwanza apambane na...
  13. Elimu kuhusu Kodi (Rent)

    Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria. Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
  14. Pongezi kwa Serikali kwa aina hii ya ukusanyaji kodi isiyokwepeka

    Nawasalimu ndugu watantania kwa jila la JMT Wiki kadhaa zilizopita walijitokeza watu wakimnanga mkuu wa nchi kwamba kwa anayoyafanya ya kulegeza kamba kwenye ukusanyaji kodi kwa kutotumia nguvu ni kujiingiza kwenye anguko la kitaifa kwani hakuna mtu anapenda kulipa kodi hivyo kama hakuna nguvu...
  15. Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia. Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
  16. Badala ya kodi za simu mngefanya haya kwanza...

    Habari wakuu, kiukweli Serikali hii imetuumiza mno, kwenye makato haya ya simu, mm nafikiri kabla ya kuwaza kumkata mwananchi wa wa butobori!!! Wangeanza kufanya haya 1: Kupunguza posho na mishahara ya wabunge, na kuondoa viti maalumu havina kazi, sambamba na kuondoa wabunge Covid 19 2...
  17. T

    Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

    Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
  18. Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  19. SoC01 Ushauri wangu kwa Serikali kupitia TRA

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nianze na angalizo kuhusu andiko langu hili kuwa sio la kielemu wala kitaalam ni mawazo yangu binafsi ninavyotamani kuona kama yanaweza kuonesha njia ya mabadiliko kwenye ukusanyaji wa mapato nchini. Nikirejea motto wa mamlaka ya mapato...
  20. Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

    Waziri wa Fedha Mh Mwigulu Nchemba amewahakikishia Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na Jumuiya ya Kimataifa kwamba Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa ili kusisimua uchumi na kuondoa malalamiko yaliyotolewa na jumuiya hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…