kodi

  1. N

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam

    Ni mbinu ya kuweka namna ya kutoruhusu upotevu wa Kodi katika masoko makubwa Dar es salaam hii itambatana na kuwajenga majengo makubwa yenye frame Kwa ajili ya biashara! Wamachinga wawe sehemu ya kusaidia Kodi pia.. Kuwafukuza Ingechukua muda mrefu sana.. hii itakuwa interval ya miezi 6 miaka...
  2. Kabudi na Lukuvi hawapo kwenye mfumo rasmi wa shughuli za serikali. Ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi

    Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako. Ni hiari ya raisi kuteua na kutengua wala halazimishwi. Ila inapotokea kelele za nje kuonekana tishio kwa maamuzi yake asitumie...
  3. Y

    Msaada kuhusu ulipaji kodi TRA

    Wasalaam ndugu zangu. Hali iliyonikuta ni kuwa nlikua na biashara ndogo nliachiwa uendeshwaji wake kwangu na shule ikawa changamoto ikafa nikahangaika na vitu vingine sasa nataka kufungua biashara mpya napata taarifa kwa watu kuwa itabidi nilipie kodi miaka 4 nlokua nimefunga ile biashara. Je...
  4. E

    Ndugai yuko sahihi - hatutakiwi kukopa kujenga madarasa, vyoo, zahanati, madawati, hivi tufanye kwa tozo na kodi

    Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
  5. Ni kweli kua ukinunua bidhaa za kikuu haulipishwi kodi ?

    Umuofya kwenu wakuu, Naomba kujuzwa jee ni kweli kua ukiagiza bidhaa kwa kikuu haulipishwi kodi. Nimeagiza mara kadhaa bidhaa kwa Aliexpress na kila maia nimekua napewa makadirio na kulipia kodi. Product nazoagiza hua ni derma roller na ointment oils.
  6. Mwigulu Nchemba acha kudanganya wananchi, mikopo hulipwa na watanzania wanapolipa kodi. Usipotoshe umma

    Kwa nini viongozi wa serikali hupenda kuona watu kama wajinga na hawana akili? Mlipopitisha tozo za serikali kwenye miamala ya simu ulitamka kwa dharau na kejeli kuwa asiyetaka kulipa tozo ahamie Burundi, bila kujali hata namna tozo zinavyoumiza wananchi. Leo hii unatamka bila hata aibu kuwa...
  7. Ni aibu kubwa kwa Waziri Mwigulu kusema Serikali ndiyo hulipa madeni

    Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi Serikali bado ingeweza kulipa deni?! Hii ni zaidi ya dharau kutoka kwa mtu aliyeshiba. Ukweli ni...
  8. TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  9. N

    Mnaponogewa kukusanya kodi na tozo kwenye gesi ya kupikia, kumbukeni pia kujiandaa kukabili athari za kimazingira

    Kutokana na kupanda bei kwa gesi ya kupikia hivi sasa kuanzia alfajiri pilikapilika za bodaboda zilizobeba mafurushi ya mkaa mithili ya fuso zimeongezeka kwa spidi ya kimbunga. Hii inaashiria kwamba asilimia kubwa ya familia zilizokuwa zimeanza kutumia gesi zimerudi kwenye matumizi ya mkaa...
  10. Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  11. M

    Serikali iwe makini na sheria mpya za kutoza kodi hasa BRELA, TRA N.K

    Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya, Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
  12. Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

    Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi...
  13. Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana. Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa...
  14. M

    Biashara zipi hazina kodi

    Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
  15. B

    Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

    Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu. "Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa...
  16. Kibonzo: Wapigiwa kura wanavyotumbua kodi yetu

  17. SGR zihurumieni kodi zetu

    Wasalamu sioni haja ya kujenga madaraja vivuko vya magari kwenye mapitio ya magari wakati kuna njia mbadala na nafuu kwanini msiinue reli kwa kuongeza ukubwa wa tuta treni ipite juu magari yapite chini kupunguza gharama kama mfano wa karavati kubwa gari zipite chini. Airport mbomoe nyumba...
  18. Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  19. B

    Kodi anayolipa Mtanzania inamrejea kwa njia ipi? Inatosha?

    Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa. Huduma kama vile - : Maji tunalipia Umeme tunalipia Elimu tunalipia Hospitali tunalipia barabara tunalipia Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
  20. Utatuzi wa wamachinga ilikuwa ni kuwatoza kodi. Hiyo ndo ingeleta Win-Win kwa machinga na Serikali

    Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…