kodi

  1. N

    Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  2. Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
  3. Afrika inasomesha vijana kwa pesa za walipa kodi, wakihitimu wanapata kazi USA

  4. Serikali acheni kucheza na tozo kwenye bei ya mafuta punguzeni kodi ya VAT toka 18 hadi 10

    Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
  5. Mifumo mibovu ya Kodi ndio inafanya Serikali kukosa mapato na watu kukwepa Kodi

    Siku zote serikali inabidi kukaa na wananchi wake kupata mawazo mazuri ambayo kila mtu yata mgusa. Mifumo ya kodi kwa nchi yetu ni mingi na ina msululu usio kuwa na sababu ukimuumiza mtu wa mwisho. Huu ni moja wa mfano tosha: - Unapopanga fremu ya kufanya biashara TRA wanataka kujua mkataba...
  6. J

    Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
  7. Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka. Biashara ikifikia mauzo...
  8. Njia rahisi ya kuzuia mfumko mkubwa wa bei unaokwenda kutokea ni kupunguza zile kodi zilizowekwa kwenye mafuta

    Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi. 1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta...
  9. Hesabu za kampuni na kodi

    sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu, 1. LTD - 125,000 tu 2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu 3. kuandika Memorandum.... huduma nyingine ni pamoja na 1. Audit of annual financial statements 2. Monthly VAT Return 3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE 4. Monthly payroll (TRA taxes...
  10. J

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  11. Nini kinafanya kodi kuwa kubwa sana kwenye frem za Kariakoo?

    eti, kodi mpaka one mil per month? na faida mnapata kabisa. Hebu tupeni siri za mafanikio! Je net profit kwa siku inaweza fika laki 1 kwa mtu anaelipa kodi kubwa hivyo? maana sijawahi kusikia malalamiko ya hizo kodi kuwa kubwa
  12. Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

    Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo. Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa. Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
  13. Rais Samia: Kuna biashara za mtandao nyingi zinafanyika hazilipi Kodi na hatuzijui. Mfumo wa Anwani utakapoingia, tutawajua

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana Mfumo wa uhakika wa utambuzi wa Wakazi na Makazi umepelekea athari nyingi kiuchumi, kiusalama na kijamii. Amesema manufaa ya Mifumo hiyo ya utambuzi ni mengi ikiwemo kuwezesha kufanyika Biashara Mtandao na kuimarisha usalama. Ameeleza...
  14. Ushauri: Rais Samia vunja TAKUKURU na iundwe upya

    Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu. Ni taasisi ambayo haina kazi na ina bajeti kubwa sana, Taasisi yenyewe imejaa wapigaji. Ukiangalia Habari kila sehemu ni...
  15. T

    Je, ni kweli Maskini wanalipa kodi ili Matajiri waendelee kuwa matajiri zaidi?

    The poor pay taxes for the rich to grow In 1888, in Chicago A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross. So how could they identify rich and poor quickly? They had an idea, rich...
  16. M

    Kama wananchi wanalipa kodi kwanini mnashinikiza wafanye usafi mitaani? Halmshauri za miji zimeshindwa kujisimamia?

    Iwe ni serikali kuu au serikali za miji huwa zinakusanya kodi na kutenga mapato kwa ajili ya usafi na wa miji hiyo. Sasa hili la kusumbua watu Jumamosi kwa ajili ya usafi mabarabarani linatoka wapi? Hizo pesa zinatumka kwa ajili ya nini?
  17. Fahamu kuhusu Tax Overpayment-Kulipa kodi zaidi

    Kulipa kodi ni sehemu ya uzalendo na ni wajibu wa kila mwananchi. Kodi unayolipa ndio ambayo hupatia watu huduma na mahitaji mengine ya jamii na miundo mbinu.Usipolipa kodi unakua unajiibia wewe na kuiibia jamii na taifa lako.Hata hivyo kuna wakati hutokea ama kwa kujua au kwa kutokujua mtu...
  18. TRA yawaomba viongozi wa dini kuhamasisha ulipaji kodi

    MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi (TRA), Richard Kayombo amewaomba viongozi wa Dini kuhamasisha ulipaji wa kodi nchini huku akidai asiyetoa risiti ana nia ya kijidhulumu yeye na Serikali yake na wananchi wenzake na atawachelewesha kwenye masuala ya upatikanaji wa huduma za kijamii...
  19. F

    Dunia itoze rushwa kodi

    Kwakuwa imethibitika kwamba rushwa haiwezikwisha asilani duniani, nadhani tuanze kutoza kodi rushwa kubwa kubwa ambazo zihalalishwe na kupangiwa utaratibu wa kupokelewa/kutolewa kupitia akaunti za benki ili serikali zichukuwe kodi zao huko huko. Huenda serikali zikajikuta zinaingiza mapato...
  20. TRA Watoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki (ETS)

    Salaam Wakuu, Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa bei mpya za stempu za kodi za kielektroniki. Tazama katika picha hii hapa chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…