kodi

  1. Watumishi wa Umma tupo utumwani? Kwanini nalipa kodi kubwa hivi?

    Habari wana Jamiiforums. Mimi nimeajiriwa kwenye Taasisi/Shirika la serikali ila najiuliza kwanini nalipa kodi kubwa hivi? Kila mwezi nakatwa Tsh501,992/= kwenye mshahara eti ni PAYE. Hivi kweli kodi ilipunguzwa kwa Watumishi au zilikuwa siasa tu?
  2. Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

    Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie. Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
  3. C

    Natafura mfumo bora wa ukusanyaji kodi katika nyumba za kupanga

    Wakuu salamu. Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga. Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
  4. CHADEMA yataka Mwigulu ajiuzulu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
  5. B

    Msiolipa kodi stahiki hamna uhalali wa kutuwekea Tozo juu ya kodi tunazolipa

    Viongozi wetu hawana nia ya kulipa kodi kama inavyostahili. Ili kukwepa kulipa stahiki yao kamili ya kodi, sehemu kubwa zaidi ya mapato yao wameiita "posho." Kwenye orodha ya wakwepa kodi hao yumu Mwigulu na timu nzima ya vigogo wote. Almaarufu walamba asali. Kwa wenzetu kunaponoga: Enyi...
  6. SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

    Utangulizi. Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
  7. Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kupanga kiwango cha kodi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
  8. Waziri Mwigulu awaagiza TRA kuweka mabango mipakani

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuweka mabango hasa katika maeneo ya mipakani mwa nchi jirani kuelezea bidhaa ambazo zinapaswa kutozwa ushuru na zisizotakiwa kutozwa. Mwigulu ametoa agizo hilo leo Septemba 11, 2022 katika mji wa Sirari...
  9. TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mfanyabishara maarufu wa Zanzibar, Toufiq Salum Turky, bado hajalipa Sh. milioni 308.5 za kodi kutokana na kuingiza gari la kifahari aina ya Benzi, Januari, mwaka huu. Naibu Kamishina wa TRA Zanzibar, Juma Bakary Hassan, aliwaambia waandishi wa habari...
  10. Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali. Amesema “Kuna namna...
  11. Je, unataka kuepuka faini na adhabu zinazohusiana kodi?

    Je una changamoto ya kuandaa mahesabu? Je unapata shida ya kuwasilisha kodi kwa wakati? Fatilia huu Mkasa John alikua mfanyabiashara maeneo ya kariakoo alikua na tatizo la jinsi ya kuandaa mahesabu na kuwasilisha kodi kwawakati. Alitafuta msaada bila mafanikio. Hilo tatizo lilipelekea...
  12. Wakinga wanakusanya faida takribani bilioni 50 kila mwezi kariakoo kiwango cha chini kwa kupunguza idadi yao na kutohesabia wasiolipa kodi

    Kwa wale tuliowahi kufika kariakoo kufunga mizigo ama kununua reja reja ama kutalii tumeshajionea jinsi wakinga walivyoikamata kariakoo, Kariakoo ndio soko kuu hapa Tanzania na wafanyabiashara wa nchi nyingine kama Zambia, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, n.k hufunga mzigo kariakoo...
  13. K

    Hatuwezi kutegemea tozo na kodi za nchi wanazotusaidia kwa maendeleo yetu

    Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati...
  14. Siku ya kwanza kusoma hii paragraph ikifananisha utozaji kodi na ujambazi nilicheka sana. Leo naona ukweli

    The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less a robbery on that account; and it is far more dastardly and shameful. The highwayman takes solely...
  15. Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

    Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru , ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu...
  16. Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani

    2 Septemba 2022 By Yusuph Mazimu, BBC Swahili Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miradi. Hoja inakuja ni tozo...
  17. Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  18. Uvivu wa serikali kukusanya kodi ndo unaleta tozo.

    Serikali imewaonea huruma wafanyakazi wanaolipwa kima cha chini lakini bado wanakatwa PAYE. Ikaona si sawa mtu alipwe laki 3 yenye kodi wakati kuna bodaboda wana ingiza mpaka laki 6 kwa mwezi na hawalipi kodi ya kipato. Sasa namna ya kuchukua kodi kwa watu ambao wana kipato na hawalipi kodi...
  19. Nimekutana na JPM akiongelea kodi, wale wa tozo najua mpo

    Ukiwa na hasira na anayeongea tafadhali hamia burundi niache nipambane na tozo.
  20. Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…