kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. BREAKING NEWS: MAURICIO POCHETTINO ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

    Manchester United imemteua Mauricio Pochettino, raia wa Argentina, kuwa kocha wake mpya. Pochettino ni kocha mwenye uzoefu katika soka la Ulaya, akiwa amewahi kufundisha Tottenham Hotspur, Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG). Anajulikana kwa falsafa ya soka la kasi, pressing, nidhamu na kukuza...
  2. C

    Manchester United inakaribia kuinasa saini ya kocha Mauricio Pochettino

    Klabu ya Manchester United ya England inaripotiwa kukaribia kufikia makubaliano ya kumteua kocha raia wa Argentina, Mauricio Pochettino, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo endapo itaamua kumfuta kazi Michael Carrick. Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo wa The Athletic, David Ornstein...
  3. O

    Benni McCarthy Afichua Kutolipwa Mshahara kwa Miezi Mitatu Akiwa Kocha wa Harambee Stars

    Kocha wa zamani wa Harambee Stars, Benni McCarthy, ameelezea wasiwasi kuhusu kutolipwa kwa mishahara ya benchi la ufundi la timu ya taifa, akisema anaamini FIFA na CAF hatimaye zitaingilia kati suala hilo. Kocha huyo raia wa Afrika Kusini amesema kuwa yeye pamoja na wasaidizi wake hawajapokea...
  4. Tetesi: Fadlu Davids ndiye kocha wa Yanga baada ya dili la Saed Ramovic kufeli

    Fadlu Davids ndiye kocha wa yanga baada ya dili la saed ramovic kufeli uongozi wa yanga umefanikiwa kumpata kocha fadlu Davids Ikumbukwe fadlu Davids alitakiea ajiunge na yanga mwanzoni mwa msimu huu lakini Kuna baadhi ya vipengere walishindwana na yanga wakaangukia kwa manqoba manqith lakini...
  5. M

    Yanga wamtimua kocha Mangqoba.

  6. Yanga wamfurusha Kocha Manqoba na kocha wa Viungo

    Klabu ya Yanga imeamua kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Manqoba Mngqithi, kufuatia kukosekana kwa mwendelezo wa matokeo mazuri ya timu hiyo. Aidha, Yanga imevunja pia mkataba na kocha wake wa viungo, Chyna Mokaila. Kupitia taarifa yake, klabu hiyo imesema mchakato wa kumpata kocha mpya...
  7. Hersi acha ubishi, Yanga haina kocha pia umefanya usajili wa ovyo

    Huyu jamaa sio kocha, mara 100 mumtafute hata Mwambusi au Boniface Mkwasa kuliko huyu bwege. Hizo ni laana za Gamondi kwako Hersi Said kwa kumkosea heshima. Timu ikiendelea hivi makombe yote tunapoteza kmmk.
  8. K

    Yanga hatuna kocha !!!

    Sina Leseni Ya Ukocha Lakini Mpira Naujua Vizuri Tuu, Ukweli Ni Kwamba YANGA Hamna Kocha Pale, Mchizi Hana Mbinu, Mchizi Hajui Kuusoma Mchezo, Mchizi ndo Atakuwa Chanzo cha Yanga Kutofika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Africa, Halafu Mchizi Muda Wote Anafokafoka Tuuu. Na Nafikiri Viongozi...
  9. Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

    Huyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga? Kama bado anasubiri nini? Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late. Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC. Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba...
  10. Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

    Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja. Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel...
  11. Tukio kama hili la kumpiga Kocha wa Gaborone Utd lingekuwa limefanywa na MwanaCHADEMA polisi wangekuwa wameshamkamata.

    Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa. Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
  12. Shabiki wa Yanga aliyemshambulia kocha wa Gaborone Utd akamatwe. Caf waifungie Yanga. Ushamba na upuuzi kama huu ni aibu kwa taifa letu

    Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa afuatiliwe sana kumjua vizuri zaidi.
  13. Kocha Gaborone; Yanga ndio yenye presha zaidi

    Kocha wa Timu ya Gaborone United ya Botswana, Sean Connor amesema kikosi chake kimejipanga kwa nidhamu, umakini na mbinu kuhakikisha kinapata matokeo dhidi ya Young Africans, akieleza kuwa wamebaini maeneo ambayo wanaweza kuyatumia kuisumbua Yanga katika mchezo huo. Amesema Yanga ilionyesha...
  14. N

    Ally kamwe athibitisha kocha wetu ni mpiga miti,je wachezaji wa timu yetu Utopolo F.C. wapo salama kweli?

    Nikikumbuka sakata la Ramadhani Kabwili picha inanijia kichwani kuwa huenda kweli kuna kiongozi wetu na baadhi ya wachezaji walikuwa wanamgagadua kipa wetu. Nikiangalia vishundu vya akina Azizi funguo,Sheketure,bacca,nondo,chuga boy jinsi vilivyobinuka Sina shaka kocha wetu mpiga miti...
  15. TRA United yamfuta kazi kocha mkuu Ndayiragije

    Klabu ya TRA United imetangaza kusitisha mkataba na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije, kwa makubaliano ya pande zote mbili. Uamuzi huo umefikiwa baada ya timu hiyo kuanza vibaya msimu wa 2026/2027 wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa haijapata ushindi katika michezo yake mitano ya mwanzo. Katika michezo...
  16. Yaya Toure aandika historia, kocha wa kwanza mwafrika kuipeleka timu Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Nyota wa Zamani wa Soka Africa, Yaya Toure ameweka rekodi ya kipekee baada ya kuwa kocha wa kwanza Mwafrika kuifikisha timu katika hatua ya ligi ya UEFA Champions League, bila kufungwa hata mchezo mmoja katika safari hiyo ya kufuzu. Timu yake ya Slovan Bratislava imepita kwenye michezo kadhaa...
  17. EFM Radio: Kocha anayelawiti na kulawitiwa na vijana achukuliwe hatua

    Nilileta uzi humu kuhusu malalamiko ya huyu kocha lakini MODS waliufuta kwa madai ya kuwa kijana aliymtuhumu kocha amekiri kusema uwongo. Leo EFM wamejadili suala hili, na hapa nawaletea link msome wenyewe: https://www.instagram.com/reel/DcfmfofMFS_/?igsi=NjA1c2lkYnljN3gw
  18. Patrick Vieira Atekuliwa Kuwa Kocha Mkuu Mpya wa Senegal

    Shirikisho la Soka nchini Senegal limemtaza rasmi gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Patrick Vieira, kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo (‘Lions of Teranga’). Vieira, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Kombe la Dunia mwaka 1998...
  19. Kocha wa Yanga akiendelea kutumia mawinga wake hivi msimu huu hatoboi

    Kocha wa Yanga anazingua sana pamoja na Mawinga wake Zakuoani na Kangwanda Hao Mawinga ni talented sana ila sometimes vichwani mwao sijui huwa wanawaza nini Winga hatari zote duniani kwa sasa na mawinga wenye akili wote kwa sasa wanacheza kama Inverted wingers washatoka kwenye traditional...
  20. The class is big but English is the problem. Kocha wa Yanga amewachana live waandishi wetu, wana maswali lakini hawamuulizi.

    Kiingereza ni lugha yetu rasmi ya Taifa, kwanini waandishi mnashindwa kuitumia kwenye kazi zenu? Tanzania hatuhitaji mkalimani wa kiingereza kwakuwa English inafundishwa kuanzia chekechea, shule za msingi, sekondari hadi vyuoni, kwanini hamjui kuiongea? Wewe mwandishi wa habari bila shaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…