kocha mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

    Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu. WASIFU WAKE. Dabo amezaliwa kwenye mji wa...
  2. Kocha mpya taifastars :Kashinda sawa lakini apite hapa atueleze haya..

    Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye? Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,, Feisal hana...
  3. Mbeligiji Adel Amrouche (58) ateuliwa kuwa kocha Mpya Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…