kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamaa ana content zake huko you tube tiktok, insta, na kwingineko anabadili wanawake kinoma, wanamshobokea wenyewe

    Huyu jamaa nimekua nikimfatilia, muda sana, ana content zake huko you tube tiktok, insta, na kwingineko jamaa anabadili mademu, kinoma wanamshobokea wenyewe na yeye akiona mademu ana sifa sana nikujipigia tu kama ana sukuma mlevi
  2. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  3. Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

    Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.
  4. Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

    Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ? Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
  5. N

    Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  6. Vizazi Vinne Kutokea Sasa Waafrika Wote watakuwa na Majina ya Kizungu, Very Sad

    Habari Siku ya Leo Nimefikilia Vizazi Vinne Kutokea Sasa Hali Itakuwaje Nikagundua Majina Yetu Mazuri yanayo endana na Asili Yetu yatapotea, Kutakuwa na Majitu Meusi afu yanajiita Stanley Costancelous John, Ivi Nini kifanyike Tutoke kwenye hili wimbi la ulimbukeni Linalo tunyemelea.
  7. Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  8. Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
  9. Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

    Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!! Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi. Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
  10. Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    Naomba tumia busara kunijibu Mimi Nina shahada yangu safi TU. Nina a lot of busines idea. Ila changamoto kubwa ni mtaji Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata...
  11. Wakuu nisaidie tiba ya kienyeji za sikio kuziba , dawa za kizungu zimedoda

    Nasikia presha kwenye sikio, kelele sikioni na pia kama niko majj hivi, hali ya sikio kuwa kama kuba kitu kimeziba. Nisaidieni wakuj
  12. Zanzibar kuna wazungu wengi mno, nipeni mbinu za kupata jimama a.k.a lishangazi la kizungu

    Serious kabisa nitumie njiia Gani kupata jimama la kizungu hata 50's Six part na fluent English Tayari ipo
  13. Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  14. Stori za babu wa kizungu

    Ati kwamba kulikuwa na dunia nyingine ambayo ilikuwa sambamba na dunia yetu hii,,,, zamani hizo dunia yetu ilikuwa na wale mijusi wakubwa na sisi tulikuwa katika hiyo dunia nyingine Pia namna ya usafiri kwa njia za anga ulikuwa ni kutumia aina ya ndege hai wakubwa kuvuka toka dunia hii mpaka...
  15. H

    Elimu ya Kizungu/Kiarabu i.e:uislam /ukristo haziwezi kamwe kumkomboa Mwafrika KIFIKIRA

    Hili liko wazi na halipongiki. Kama Waafrika wamesoma hadi kuwa maprofesa na bado hawatambui juu ya uongo ndani ya uislam/ukristo na bado hawatambui wanatoka wapi na wanenda wapi kiasi cha kuendelea kutumia majina ya ubatizo ya kizungu na kiarabu yasiyo na maana kwao...
  16. H

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu? Ujinga ukizidi ni dhambi!!
  17. Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
  18. Kifikra, kimawazo na kiakili, mwanamke wa kizungu yuko juu sana na wabantu

    Kwa uzoefu wangu wa marafiki zangu waliodate na kuoa wazungu (japo mimi sijawahi) lakini nimethibitisha kwa wale waliowahi kuwaingia ni kwamba: mwanamke wa kizungu mkielewana na kukukubaliana kamwe hawezi kuchepuka! Muda wate atakuwa pale kwa ajili yako kwa sharti moja tu "na wewe uwe pale kwa...
  19. Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…