kiwanja

  1. Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

    Namtaka bingwa wa kuona Mbali. Mwenye macho ya Eagle 🦅 Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi. Hizo nyumba mbili unazoziona. Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja. Sqm 629.78 Hati Safi Hakuna mgogoro Dakika moja Hadi...
  2. Plot4Sale Kiwanja Kiluvya Gogoni

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya gogoni umbali km 1.5 tu kutoka moro road kipo upande wa kituo Cha polisi gogoni Bei ni Mln 13 tu Piga simu 0675 065906
  3. Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya: Inakuwaje kupata Hati ya Kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu?

    "Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
  4. Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  5. Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Tabata kwa Swai 45mil...tu

    Hello Ukubwa wa kiwanja ni 500sqm... Bei Tsh.45mil45mil..... Kina document ya hati miliki .
  6. KIWANJA KINAUZWA KIPO KISOTA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

    Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa 🔥Kina ukubwa wa square metres 597 🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau. 🔥Kina hati ya wizara 🔥Ni corner plot yaani kinatazama barabara mbili za mtaa. 🔥Hakina mgogoro wowote kinauzwa...
  7. Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

    Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala. Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga. Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
  8. G

    Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  9. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kiwanja kina ukubwa robo eka. Kipo kibaha visiga. Umbali Mita 300 kutoka morogoro road. Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani. Bei milioni 9. 0678908743
  10. D

    Plot4Sale Nauza kiwanja na site Morogoro Mjini ukubwa sqmUKUBWA SQM 1500

    CONTACT ME 0762098871
  11. GE2025 Samia: Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu

    "Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
  12. Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

    Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21). Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi. * Nyumba ya kisasa *Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2 Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini. Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
  13. Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  14. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Picha ya Ndege

    Kiwanja kipo kibaha picha ya ndege. Kipo nyuma ya hospital ya wilaya Lulanzi. Kiwanja kina ukubwa Mita 30 kwa 20 Kutoka morogoro road km 2. umeme upo hapo hapo wa kuvuta maji yapo karibu. Bei milioni tatu na nusu.
  15. Kiwanja kinauzwa Kiluvya Madukani

    Kiwanja Kinauzwa Kiluvya Madukani Ukubwa Heka 1 yani mita 70x70 Huduma zote zinapatikana Umbali Kutoka Morogoro road km 6 Bei eneo linauzwa Mln 15 0775 179905
  16. Swali la wazazi: Umeshanunua kiwanja huko unakoishi? Jibu hili hapa

    Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja?? Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana...
  17. A

    Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

  18. KIWANJA KINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA

    KIWANJA KINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA KIPO MITA 600 TU KUTOKA LAMI _____________________________ ✅ KINA UKUBWA WA 25*30 ✅ KIPO KARIBU NA LAMI HAINA HAJA YA KUPANDA BODA MITA 600 TU KUTOKA MAIN ROAD. ✅ KIPO KWENYE BARABARA YA MTAA ✅ KIPO MTAA ULOCHANGAMKA ✅ HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO...
  19. House4Rent Nyumba 3 kwenye Kiwanja Kimoja, Ubungo Kibangu

    - Mpangaji Mmoja Mwenye Kukodisha Muda Mrefu Anahitajika! · Nyumba Kuu: Ina vyumba vitatu (3) vya kulala, jiko, sebule na eneo maalum la kulia. · Nyumba Ndogoo (2): Kila moja ina vyumba viwili (2) vya kulala vyenye ufanisi. · Bora kwa: Mpangaji anayetafuta kuchukua majengo mengi kwa mara moja...
  20. R

    kiwanja kinauzwa manyoni

    Kiwanja kinauzwa manyoni majengo satelite city sqm 1039. Makazi na biashara. Bei 3,000,000. Maongezi yapo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…