kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watoto wa kiume kwa kawaida.....

    Huwa hawapendi kuona mama yao anapigwa miti, Hii ni tofauti kabisa na watoto wa kike.,,,, Hufurahia pale mama yao anapozagamuliwa na mtu ambaye si baba yao, Ni utafiti wa miongo kadhaa sehemu tofauti tofauti...hasa bara. Lakini kuna pahala nilifika ilikuwa ni kinyume. Vijana wa kiume...
  2. MNH-Mloganzila yatoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume kwa kupandikiza kifaa maalum

    Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa na bingwa bobezi kwa kutoa huduma ya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume(Penile Implant Surgery) kwa wanaume wenye changamoto hiyo ambao hawajafanikiwa kupata nafuu kupitia matibabu mengine. Akizungumza kuhusu...
  3. Kama wewe Ni mtoto wa kiume Tena mpambanaji huwezi kufurahia kifungo cha Lissu....

    Wapambanaji tunapitia Mambo mengi Sana Hasa katika utafutaji, kumbuka gereza Halina mwenyewe.muda wowote unaweza ule unaweza kuwa mahabusu au mfungwa, ngoja niwape kisa kimoja kilichotokea mwaka 2017. Kuna Jamaa yangu alikuwa Ni Askari Polisi huko Kanda ya ziwa, huyu jamaa alipata ajira akiwa...
  4. Kwanini kwenye matusi watu wengi hudhalilisha Wanawake na viungo vyao vya uzazi tofauti na upande wa Kiume ?

    Hello Great Thinkers , My name is Adriz Mr Justice , My friends call me a Consigliere. Ni kawaida sana na rahisi sana mtu ukimchokoza au akitaka kukukera anakutukana matusi mabaya kuelekea kwa Mama yako Mzazi ndio maana tusi maarufu sana bongo ni "Kmkm" ""...la Mama yako" nk lakini upande wa...
  5. M

    Ni wapi naweza kupata jeans mpya original za kiume kama Abercrombie, Dickies, Levis, Madewell, n.k,

  6. Ila JF 😁, kila mtu ana pesa, ana nguvu za kiume, anatongozwa na wake za watu , kila mtu haishi kwa shemeji yake na kila mdada humu ana keboz makubw🔥

    Maisha yaendelee
  7. AJIRA: NATAFUTA FUNDI MTAALAMU WA KUSHONA SUTI ZA KIUME (PROFESSIONAL BESPOKE SUIT TAILOR)

    Nina ofisi ya kisasa ya ushonaji iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, na kwa sasa ninatafuta fundi mtaalamu mwenye uzoefu na uwezo wa kushona suti za kiume katika viwango vya juu vya ubora (Premium & Bespoke Tailoring).
  8. Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa

    Dalili nyingine ya Upungufu wa nguvu za kiume ni mke wako kurudi ONLINE Baada ya tendo au kuwa na uwezo wa kunyanyuka kitandani yeye mwebila kusaidiwa. Moods futen na hii mana Ile ya kuwasha feni wakat wa kuchota maji Kwenye kisima mmefuta lalek
  9. Dini bora kwa jinsia ya kiume.

    Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake. Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu. Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu. Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni...
  10. Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  11. NAHITAJI FUNDI PROFESSIONAL WA SUIT ZA KIUME – DAR ES SALAAM

    Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu. Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na mashine za kisasa, nzuri na za kutosha pamoja na mazingira mazuri ya kazi. Awe na uwezo wa: • Cutting na...
  12. T

    Natafuta rafiki wa kiume

    Natafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
  13. Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
  14. Kijana wa kiume unayetegemea kuingia ndoani.

    Na mambo machache ya kumshauri kijana wa kiume ambaye anategemea kuanza kuishi maisha ya ndoa. Kwanza ntaanza kisaikolojia lazima kama kijana uwe umejiandaa kwa haya machache. Kubali kwamba ndoa si raha kila siku. Kutakuwa na tofauti za mawazo, hasira, uchovu na vipindi vigumu. Usitarajie...
  15. USHAURI KWA DUDUBAYA: Anzisha Taasisi ya Malezi ya vijana wa Kiume.

    Habari wakuu? Kwa sasa Dudubaya amekuwa maarufu sana mitandaoni, pamoja na controversies zake, kimsingi ni mtu anayekemea tabia za kishoga kwa watoto wa kiume. #Yu bet wochi yua bak. Kwa kweli kwa sasa hili limekuwa janga kubwa sana. Tabia za kishoga zimeshamiri sana. Na bahati mbaya sana...
  16. Vijana wa kiume mnaochagua pesa kuliko uanaume?

    Kijana wa kiume unaamua kuuzika uanaume wako na kugeuzwa na mwanaume mwingine kisa pesa? Dah! Nawaza namna mtoto wa kike huwa anaulilia na wewe vivyo hivyo? Kisa pesa? Kuna haja ya serikali kuja na mkakati maalumu ya kudili na hawa watu, mtu akigundulika ni shoga tia sindano kimya kimya...
  17. M

    Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Habar wakuu nakijana wangu umri miaka 10, Leo jioni alivotoka shule kanipa taarifa akiwa shule alienda kukojoa zikawa zinatoka damu akawa kajifunga kitambaa kwa muda wote akiwa shule leo,bahat mbaya hakumwambia hata mwalimu wake wa darasa,karudi nyumbani jioni akanambia hali aliokua nayo Bas...
  18. Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  19. M

    Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  20. Utafiti jijini Mwanza umebaini dawa za Asili za Nguvu za kiume uchanganywa na Viagra dawa za hospitalini

    Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi. Dawa hizi za asili zilikutwa na mchanganyiko wa Sildenafil na Tadalafil, Dawa ambazo ni za hospitalini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…