kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni Msaada wenu, Nimekamatika kiuchumi.

    Wakuu Habarini,! Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua, Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second, Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana, Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama, Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu...
  2. Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  3. Z

    Faida ya kiuchumi ya kufungua maabara binafsi ya magonjwa ya binadamu

    Wakuu nina mpango wa kufungua maabara yangu je nitegemee kupata faida gani Kwa siku?
  4. Tanzania na Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo

    Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  5. Martha Mariki awaasa Wanawake kutumia fursa za mikopo ya 10% kujikwamua kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
  6. Kwanini Taifa la Marekani limebarikiwa sana kiuchumi na kiteknolojia? Sababu hii hapa

    Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa...
  7. Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  8. R

    Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  9. Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  10. Kuwepo na App nyingi za kukopesha fedha kiuchumi ina ishara gani?

    Wa Salaamu . Hizi app za kukopesha fedha mitandaoni zimekua nyingi mno. Kila ukiingia online ni promotion za app hizo. Kwa wale wataalamu wa kiuchumi hii ni kiashiria gani kimaendeleo? Je hii ni indicator kwamba uchumi unakua kwa kasi au unaporomoka? Naombeni msaada wenu ili nitoe tongo...
  11. Z

    Mwanaume anapooa ni lazima ni lazima kuzingatia uwezo wa kiuchumi, kielemu na kidini kwa familia ya mwanamke anayemuoa???

    Mwanamke wa kuoa ni muhimu kwao na kwa mwanaume kuwe na uwezo sawa kiuchumi,, kielimu na kidini???. Wanajukwaa habari zenu,natumaini mu wazima wa afya .mada ni kama ilivyotajwa hapo juu. Katika miaka ya hivi Karibu swala la kutafuta mwenza wa kuishi naye limekuwa gumu kidogo baina ya vijana...
  12. Namba 4: Jikomboe kiuchumi kwa kuweka 15% ya mapato yako. Itakusaidia Uzeeni.

    Habari wanaJF, Leo ni siku nyingine tena. Nimeamka salama, na ninaandika maneno haya kwenye maktaba fulani hivii. Napenda maktaba kwa sababu ya utulivu unaonipa kuwaza na kutia humu. Nilipitia shuleni kwa mtoto, halafu nikala chakula cha asubuhi (viazi na muhogo na uji na karanga). Nimeshiba...
  13. Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  14. Jikomboe Kiuchumi Hatua #2 - Lipa Madeni Yako [The Snowball Method]

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi wenye shati nyekundu hapa mzigoni, kitu ambacho sio kawaida). 14/02/2024 (mwaka jana) nilivaa polo hii...
  15. R

    IDM ni software muhimu, kwanini watu wengi hata wenye uwezo kiuchumi hawataki kuinunua wapo tayari kuteseka na matoleo ya kuchakachua yanayosumbua

    Unaweza kuwaelewa watumiaji kama wanafunzi kutumia matoleo ya kuchakachua ila inakuwa too much mtu anaitumia idm miaka zaidi ya 10 na uwezo anao bado hataki kuinunua anakomaa na matoleo ya crack yenye changamoto nyingi kuanzia virus, ujumbe kutokea mara kwa mara wa kuinunua, ku expire, n.k.
  16. Fuata Hatua Hizi 7 Rahisi Kuwa Huru Kiuchumi

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe unaendelea vizuri. (Na endapo kuna mambo hayaendi, komaa tu. Haya ni mapito. Punde msimu utageuza, na...
  17. M

    Tuwaombee Malawi hali yao kiuchumi ni mbaya sana

    Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku zinauzwa bei nafuu sana lakini mwananchi wa kawaida hawezi Bado kujipambania, tuwaombee hawa wenzetu...
  18. Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  19. Tanzania imewahi kupigana vita ya kiuchumi? Inahitaji kufanya hivyo?

    Mfano. Kuna kitu kinaitwa Chicken War. Miaka hiyo ya nyuma USA walikuwa wanauza sasa kuku Ulaya na hasa Ujerumani. Kuku kutoka USA walikuwa bei rahisi kuliko wale wanaozalishwa Ujerumani. Wafuga kuku wa Ujerumani wakaanza kulia kuwa kuku wa US wanawafanya washindwe kuuza. Serikali yao...
  20. Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

    To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ?? Wajuzi mtupe majibu apa Ipi bora kiuchumi wetu Assume umeme hujakatika🙌🏼
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…