kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singida–Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida – Katesh – Dareda – Babati – Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  2. N

    Maono madogo, maendeleo madogo: kwa nini tuko nyuma kiteknolojia?

    Moja ya sababu zinazoweza kuchangia nchi yetu kubaki nyuma kiteknolojia ni namna tunavyoweka malengo yetu. Tumekuwa tukijiwekea malengo madogo, huku malengo makubwa ya kiteknolojia yakionekana kuwa magumu au yasiyowezekana kuyafikia. Mwisho wa siku, tunajikuta tukipata matokeo madogo kwa sababu...
  3. Tanzania Yaeleza Mafanikio Ya Kiuchumi, Ushirikiano Na Taasisi Za Kimataifa

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha. Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
  4. Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  5. TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  6. K

    Kati ya Uhuru wa Kiuchumi (Sankara), Mifumo ya Sheria (MLK), na Utu wa Raia (Malcolm X); Je, Ni Wapi Tanzania Tunafeli Zaidi?

    Baada ya kuona mijadala mbalimbali inayohusu orodha ya "machawa" katika siasa zetu, sasa ni wakati wa kurudi kwenye mada muhimu na yenye muktadha wa kina kwa taifa letu. Leo tunautazama mustakabali wa nchi yetu kupitia miwani ya magwiji watatu wa haki duniani: Thomas Sankara, Martin Luther...
  7. Maombi yana nafasi yake, lakini usitumie maombi kama mbadala wa mipango, kazi, maarifa na hatua za kiuchumi

    Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto. Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
  8. Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  9. B

    Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi

    28 September 2026 Muscat, Oman Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi Muscat: Mkutano wa kwanza wa mashauriano ya pande mbili kati ya Usultani wa Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulifanyika Jumatatu huko Muscat 28 September 2026. Upande wa Oman...
  10. Jinsi ya kunufaika na AI kiuchumi

    habari zenyu bhana.......dhumuni la uzi huu ni kuomba wadau wote tupeane nondo za jinsi ya kutumia ai kiuchumi na ai gani zinafaa ambazo zinaweza kutumika kama side hustle/kipato cha ziada au ajira binafsi. karibuni
  11. Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani? kuna raia hawatoboi week Moja.
  12. M

    Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  13. Suala hili kiuchumi linamaanisha nini?

    Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia, ambazo zilifikia Ksh bilioni 1.50 (Dola milioni 11.61). Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuzidi...
  14. S

    NATAFUTA KAZI

    Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano: +255611084361
  15. Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  16. Utalii wa Mikutano Arusha: Madereva wa taksi wafunguka wanavyonufaika kiuchumi

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
  17. K

    Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano

    Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
  18. Wasusi waipa tano Darling Hair kwa kuwakwamua kiuchumi

    Wasusi mbalimbali nchini wameipongeza Kampuni ya Darling Hair kwa kuwawezesha kiuchumi na kuwakwamua kutoka kwenye umaskini kupitia programu yake maalumu inayofahamika kama Loyalty. Pongezi hizo zilitolewa katika hafla maalumu iliyofanyika Sinza, Jijini Dar es Salaam na kuwakusanya mamia ya...
  19. Hivi hizi familia za kitajiri wanaojiweza kiuchumi huwa wanayapitia haya?

    Naomba kuuliza jamani Hivi hizi familia za kitajiri amawanaojiweza kiuchumi hua wanapitia shida MFANO za magonjwa ? Au shida tu zozote za kiafya, mwanaume hadindishi, MWANAMKE hapati watoto, mapepo, mara majini, ila unakuta Pesa ipo ya kutosha kabisa tena nyingi, ila magonjwa kama yote...
  20. Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…