kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mfumo gani wa Kiuchumi utakaowezesha Kuongeza miamba ya Dhahabu ili nchi iweze kunufaika zaidi na Madini?

    ๐—๐—˜, ๐— ๐—”๐—จ๐—ญ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—›๐—”๐—›๐—”๐—•๐—จ ๐—ก๐—œ ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—›๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ? ๐˜‹๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ช๐˜ฏ๐˜จ๐˜ช๐˜ป๐˜ข ๐˜œ๐˜š๐˜‹ 5.67 ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ฆ๐˜ป๐˜ช 12 ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช ๐˜‘๐˜ถ๐˜ญ๐˜ข๐˜ช 2026. ๐˜•๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฃ๐˜ธ๐˜ข, ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ป๐˜ถ๐˜ณ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ท๐˜ช๐˜ค๐˜ฉ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ท๐˜บ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช. ๐˜“๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ฆ๐˜ป๐˜ช ๐˜ด๐˜ช๐˜ต๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ, ๐˜ฃ๐˜ฆ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช 27%. ๐˜œ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ข๐˜ซ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ญ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ธ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ข...
  2. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    ๐—™๐—ฅ๐—ข๐—  ๐—ฃ๐—”๐—ฌ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง๐—ฆ ๐—ง๐—ข ๐— ๐—”๐—ฅ๐—ž๐—˜๐—ง๐—ฆ: ๐—๐—˜, ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ญ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”? ๐˜”๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2025 ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข (๐˜—2๐˜‰) ๐˜ฏ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ข ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 37.52 ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 2.30, ๐˜ด๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 16 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข. ๐˜ž๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข...
  3. Shikilia vizuri ulicho nacho kwa sababu ni ngumu mno kuinuka upya baada ya kuanguka kiuchumi

    Motivational speakers watakuambia "Knocked down? You can stand up"... mwingine atakutolea mifano ya watu walioanguka na kusimama upya na mara nyingi huwa ni watu wa Ulaya na America. Hatakupa mifano ya watu maelfu walioanguka na kushindwa kuinuka upya hadi ile siku wanavuta pumzi ya mwisho...
  4. Masauni ktaja biashara ya kaboni kama fursa ya kiuchumi kwa wananchi

    Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini. Masauni amesema kuwa biashara...
  5. Tuseme ukweli, maisha ya mtanzania wa hali ya kawaida yamekua magumu sana kiuchumi kwa mwaka huu 2026

    Bila kupepesa macho tuseme ukweli. Hali imekua mbaya sana kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida ukiachana na baadhi wachache waliopo kwenye mifereji ya pesa kwa mwaka huu 2026 Kwa ground hali sio poa kabisa. Ndugu na jamaa wa karibu hadi kuna mda nawahurumia juu ya vilio kuwa vingi, haina jinsi...
  6. Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  7. Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
  8. Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  9. Usioe mwanamke tegemezi ataharibu watoto wako kiuchumi

    Mafanikio ya mtu huanza tangu utotoni kama mtoto kalelewa katika maisha ya utegemezi wa mzazi mmoja tayari unamjenga huyo mtoto naye kuwa tegemezi . Angalia mfano watoto amabao mama zao sio tegemezi halafu ulinganishe na ambao mama zao ni tegemezi utashangaa
  10. L

    Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  11. L

    Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  12. U

    Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
  13. Serengeti kuwa kitovu cha utalii wa michezo Afrika, uzinduzi wa uwanja wa gofu Fort Ikoma wafungua fursa mpya za kiuchumi

    Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETI Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo Fort Ikoma, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kuongeza ushindani wa...
  14. Responded TANROADS: Tunaendelea na matengenezo barabara ya Singidaโ€“Gehandu pamoja na Singida - Manyara

    Wakati kukiwa na madai kuhusu hali ya barabara ya Singida โ€“ Katesh โ€“ Dareda โ€“ Babati โ€“ Minjingu, hatua za matengenezo zinaendelea katika sehemu mbalimbali za barabara hii muhimu yenye urefu wa kilomita 223.5, inayounganisha mikoa ya Singida na Manyara pamoja na kurahisisha safari na usafirishaji...
  15. N

    Maono madogo, maendeleo madogo: kwa nini tuko nyuma kiteknolojia?

    Moja ya sababu zinazoweza kuchangia nchi yetu kubaki nyuma kiteknolojia ni namna tunavyoweka malengo yetu. Tumekuwa tukijiwekea malengo madogo, huku malengo makubwa ya kiteknolojia yakionekana kuwa magumu au yasiyowezekana kuyafikia. Mwisho wa siku, tunajikuta tukipata matokeo madogo kwa sababu...
  16. Tanzania Yaeleza Mafanikio Ya Kiuchumi, Ushirikiano Na Taasisi Za Kimataifa

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha. Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
  17. Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  18. TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  19. K

    Kati ya Uhuru wa Kiuchumi (Sankara), Mifumo ya Sheria (MLK), na Utu wa Raia (Malcolm X); Je, Ni Wapi Tanzania Tunafeli Zaidi?

    Baada ya kuona mijadala mbalimbali inayohusu orodha ya "machawa" katika siasa zetu, sasa ni wakati wa kurudi kwenye mada muhimu na yenye muktadha wa kina kwa taifa letu. Leo tunautazama mustakabali wa nchi yetu kupitia miwani ya magwiji watatu wa haki duniani: Thomas Sankara, Martin Luther...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ