kitimoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Wana JF nawasalimu, Wakuu nikiachana kwa upande wa dini zetu ISLAMIC na SABATO-CHRISTIAN uhalali na haramu wa NGURUWE, kuna mambo mengine yanayosemwa kuhusu nyama ya nguruwe. Mimi sijui kama ni uzushi au ni kweli kwa hivyo nawaomba wana jamvi watufafanulie sifa hizi nzuri na mbaya zinazo...
  2. I

    Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

    Inasemwa kuwa eti mfalme mmoja aliekuwa na wake wawili wazuri alialika wageni nyumbani kwake. Akaagiza wachinjwe wanyama wa kila aina kutoka katika mifugo yake - mbuzi, ng'ombe, ngamia, kuku, bata, kondoo, nguruwe, nakadhalika. Baada ya mapishi kuwa yamekamilika wake wa yule mfalme waligundua...
  3. Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako. Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k Asante sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…