kitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni mwaka wa tatu sijapata kitambulisho cha NIDA

    Nilijiandikisha NIDA tangu March,2019. Mwaka Jana 2020 nikapata namba, nikaambiwa kitambulisho Bado. Mwaka huu nimefuatilia sana naambiwa tu subiri kikiwa tayari utapigiwa simu. Mbaya zaidi watumishi wa pale wala lugha mbaya sana. Ukiuliza swali kwa ustaarabu wanakujibu kama ugomvi vile. Eti...
  2. Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

    Inasikitisha sana wakuu
  3. Kabla hujatongoza dai kitambulisho, Kenya wameonyesha njia

    Jirani yako akibuni njia nzuri si mbaya kuiga ilimradi ufikie malengo yako. Tunakubaliana watoto weng wa kike chini ya 18 wamenona, wanajipamba na wao wanatia watu majaribun kwa tamaa na haraka zao na hatimaye weng wanakutana na mkono wa sheria, kwa aibu na fedheha! Mbaya zaid tuna mabinti...
  4. Kitambulisho cha NIDA si kigezo cha uraia - Waziri

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani vitambulisho hivyo hata wananchi wasiowazawa wa Tanzania wanavyo. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe...
  5. Nataka kutumia jina tofauti kwenye Kitambulisho cha NIDA

    Heshima Yenu Wakuu, Hongereni kwa majukumu ya kuijenga mama Tanzania. Nahitaji msaada wa mawazo yenu na pia kwa aliyekutana na hii changamoto anipe usaidizi pia iwafikie wahusika Serikali pamoja na NIDA. Nipo kwenye mchakato wakupata kitambulisho cha taifa (NIDA). Changamoto yangu iko hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…